Watu wabishi hapa JF ni kina nani?

Hahahahhah....dah hii imesimama!Ngoja nifanye mpango wa kutoa single moja ya Kichagga!Maana NIMEKUBALI!!Alafu hivi ule wimbo wa Raphael uliishiga wapi?!Nautafutaga mpaka basi..!

hahaha...duh! umenikumbusha mbali aisee...massawee alikuwepoo! duh..dem gud old days..
 
Wakati nasoma praimare skuli mwalimu wangu alinambia hiyo red eti ni chizi.........unataka kukimbilia kwa chizi...........

Hizo siasa za kunipiga dongo mimi umpate dadangu hazifui dafu hapa mangi!!!!
 
Nachukizwa na tabia za kugeuza thread ya mtu kama ndio chart room, huu ni utoto na haukubaliki naomba mjiheshimu wenyewe.
 
Lipo Jukwaa la malalamiko na ipo option ya chart na kuna option ya Private message, huu usharbaro wenu hamishieni kwenye chart au kwenye Pm.Respect yourself.
Sasa kwanini hukupeleka malalamiko yako kwenye JUKWAA LA MALALAMIKO wakati unajua kule ndo kunafaa?!
 
ubishi ni hulka ya mtu .hata hapa jf wapo watu wa aina hiyo..
wataje..

Malaria Sugu na wenzake

attachment.php
 
Back
Top Bottom