Watu wabishi hapa JF ni kina nani?

mkuu wangu mimi nilinyamaza ili aje mtu mwingine athibitishe....asante sana...

Mkubwa wangu! Huyu Rejao nakwambia Mi ningekuwa na uweza wa kukutana naye face to face hakika ningekuwa na la kumwambia. Huyu tuna hasara naye humu jamvini Kamanda wangu!
 
Back
Top Bottom