Watu wabishi hapa JF ni kina nani?

Dada ananikumbushia remix ya kichagga ya sista p..ule wimbo wa "achana nao.."Lekana naowawore chuki pinafsi,lekana nao...
Hahahahhah....dah hii imesimama!Ngoja nifanye mpango wa kutoa single moja ya Kichagga!Maana NIMEKUBALI!!Alafu hivi ule wimbo wa Raphael uliishiga wapi?!Nautafutaga mpaka basi..!
 
Back
Top Bottom