Watu wa sua mbona tuko kimya sana?????

ndo ivyo mkuu..maombi kwa sana tu..afu kuhusiana na Malipo Ya hostel kuna special account Yake tofouti na ile Ya chuo..so unapoenda kulipa ile pesa ya chuo angalia usije uka include na pesa Ya hostel..

ni hivi, unareport chuo unamaliza reg. unapewa id card ndo unaenda suasab wanakupa card yenye room no ndo unaenda nayo benk kulipia hostel, so hostel ni ya mwusho kabisa kulipia na bila id hupewi room
 
thaankx kwa maelezo yako..
 
mkuu RadioActive binafsi sina hakika...ila ya hostel,registration fee,kitambulisho nadhani ndo tunalipa...ila kama hujapata loan(nikimaanisha 100%) kuna kiasi unalipia!!! kwani ulizolipia ni zip????

nimelipia registration,identity,caution money,medical,acomodation,examination fee, library,vyote nimelipa per yr mkuu!!ndo inakuja lak 3 na 54!!
 
Last edited by a moderator:
co lazma mpaka chuo mi nimeongea na jamaaa angu ni m1 kati ya mawazir pale chuo anasema unaeza lipa kwa kupitia ac ya acomodation ambayo wametoa kwenye join instruction ili kuepuka usumbufu then unaenda na payin slip mpango mzima ndo unakuwa ivo!
 
kuna link ilikua na hizo accounts na fees ila nimejarib cheki kwenye web yao sijaona hiyo akaunt....kama unayo idondoshe mkuu!!!!
 
Direct cost ni,1.students union fee tsh.5000, 2.examination costs tsh.25,000 3.library cost tsh.40,000 4.caution money tsh.20,000 5.registration tsh.3,000 6.medical fee tsh.100,000 7.identity card tsh 5,000.ACCOMODATION FEE FOR ROOM IN UNIVERSITY HOSTEL IS TSH.78,000 PER SEMESTER PAYABLE THRU SUA CRDA ACC NO.01J1076769835.However, students are advised to contact SUA STUDENTS ACCOMMODATION BUREAU (SUASAB) Be4 paying to avoid inconveniences that may arise as a result of not being allocated a room in a university hostel.Please contact the SUASAB office through the following address suasab@suanet.ac.tz before embarking on paying accomodation fees.
 
Dah,wakuu yaani masela zangu wahapa kitaa ambao wako sua wote washaenda chuoni coz wamesup,sasa me najiuliza mbona A-level walikuwafit iweje chuo wanasup au wamelegeza msuli,bt wao wakaniambia kwamba nitajionea mwenyewe,xo wakuu nackia msuli wapale ni kirambac

duh! Hata mi kuna jamaa yangu wa Sua ameshaondoka kisa kusup
dah hapo nshawaza cjui nkienda, Jf ndo bac tena!
 
Karibuni sua vijana. Hakika kinachohitajika ni kusoma. Shule inaenda unayoyackia ni mbwembwe 2 za wa2
 
Direct cost ni,1.students union fee tsh.5000, 2.examination costs tsh.25,000 3.library cost tsh.40,000 4.caution money tsh.20,000 5.registration tsh.3,000 6.medical fee tsh.100,000 7.identity card tsh 5,000.ACCOMODATION FEE FOR ROOM IN UNIVERSITY HOSTEL IS TSH.78,000 PER SEMESTER PAYABLE THRU SUA CRDA ACC NO.01J1076769835.However, students are advised to contact SUA STUDENTS ACCOMMODATION BUREAU (SUASAB) Be4 paying to avoid inconveniences that may arise as a result of not being allocated a room in a university hostel.Please contact the SUASAB office through the following address suasab@suanet.ac.tz before embarking on paying accomodation fees.

hapo haijalishi kama umepata 100% au 0?
 
Wakuu me nimeshindwa kuelewa % yangu ya mkopo coz sina field mwaka wa kwanza na loan amount yangu ni 3,343,000 na tution fee ni 1,263,000 msaada kwa anaye jua
 
Kwa wale waliochaguliwa undr 2nd round na first undr thrd batch kwenye malipo inakuaje coz hawajaandka registration number na kweny maelezo yao wanataka iandikwe hyo number kwenye payn slp.
 
ohhh pcm ngumu sijui nini..oooh maths unakesha!!! mara ngumu...mara uta feli..haya ni maneno tu...tungoje tuone wenyew na tujuae akili hazifanin!!!
 
kama sekunde chache nimetoka kucheki selection ya vijana wa mwaka wa kwanza na nilichojionea kimenistua au kunifanya nirudi tena kusoma historia ya chuo hichi. leo hii Bsc Agric G wamechaguliwa zaidi ya rural huku course kama wildlife na tourism zikiambulia share kiducho. naona wameamua kurudi kwenye enzi za sua ikiwa kama ilivyokuwa zamani na vitivo vichache kama kilimo, misitu na afya ya wanyama.

jambo lingine nikuona kuwa chuo kimeteuliwa kuwa chuo kitakachotoa walimu wa masomo ya sayansi maana mwaka huu wamefunika.

mapendekezo nikuwa chuo kibadilishwe jina na kuitwa SOKOINE AGRICULTURE AND SCIENCE TEACHING UNIVERSITY (SASTU)
 
Back
Top Bottom