Watu wa sua mbona tuko kimya sana?????

SODOKA

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,658
722
Jamani wana JF mbona memberz wa SUA hatupeani ma-breaking newz yanayojili kunako MJENGONI?????
 
Kaka SUA WEB kulikua kimya sana pia,lakini sasa kuna habari njema ya jana 27/09/2012 hasa kwa wale 2liokosa mikopo ule ni unafuu kwe2 kwamba minimum ya malipo ya tuition fee ni at least nusu (50%) ya annual tuition fee kwa maana kwamba kwa sisi wa science courses ni 631,500/= na sio kama walivyokua wamekaza mwanzo kwamba ulipe tuition fee ya mwaka mzima ndipo usajiliwe.LINK-
 
Attachments

  • SUA-newstudents.pdf
    69.2 KB · Views: 205
Dah,wakuu yaani masela zangu wahapa kitaa ambao wako sua wote washaenda chuoni coz wamesup,sasa me najiuliza mbona A-level walikuwafit iweje chuo wanasup au wamelegeza msuli,bt wao wakaniambia kwamba nitajionea mwenyewe,xo wakuu nackia msuli wapale ni kirambac
 
Kozi za SUA si kama hizo za kingwini za vyuo vingine, at least kwa miaka tuliosoma sisi.

BIG Respect to SUA

Dah,wakuu yaani masela zangu wahapa kitaa ambao wako sua wote washaenda chuoni coz wamesup,sasa me najiuliza mbona A-level walikuwafit iweje chuo wanasup au wamelegeza msuli,bt wao wakaniambia kwamba nitajionea mwenyewe,xo wakuu nackia msuli wapale ni kirambac
 
Eeh..!! Bhana eeh kwa wale ndugu zangu wa BVM mambo si lelemama...kuna jamaa fulani hv nw anaingia mwaka4..amenambia walianza 89 na xaxa wako 45..sasa jiulizen hao wengne? Wamekwenda wapi...so ndugu zangu tukapige shule..
 
naomba niulize wana Sua wenzangu kuwa,sawa mkopo umetoka ila kuna zle direct cost ambazo nikaona kama kuna laki 3 na nusu!!!je ni lazma nilipe na fee ambayo natakiwa kuongezea??mana mkopo nimepata ila nimeona co %mia.kwamba chuo hawatanipokea nicpo lipa sasa iv!mana zle direct cost zingine nishalipa!
 
mkuu RadioActive binafsi sina hakika...ila ya hostel,registration fee,kitambulisho nadhani ndo tunalipa...ila kama hujapata loan(nikimaanisha 100%) kuna kiasi unalipia!!! kwani ulizolipia ni zip????
 
Last edited by a moderator:
Te te te,89 mpaka 45 mkuu zeduduz hapo co msuli 2 tucsahau maombi

ndo ivyo mkuu..maombi kwa sana tu..afu kuhusiana na Malipo Ya hostel kuna special account Yake tofouti na ile Ya chuo..so unapoenda kulipa ile pesa ya chuo angalia usije uka include na pesa Ya hostel..
 
embu fafanua hapo...na kulipia hostel ni mpaka mda wa kwenda au inakuaje???
 
Ndo ivyo Mkuu..kuna special account Yake..vipi? Kwani ushachukua Admission Letter?
mi najua ni ile form yenye registration na medical tuna download then tunasepa nayo...aise nipe mchongo hiyo inapatikana wapi??
 
NISAIDIENI WALE WA 2nd ROUND HAWANA REGISTRATION NO.INAKUAJE KWENYE MALIPO MAANA WAMESEMA UANDIKE UA REGISTRATION NO KWENYE BANK SLEEP!!!Msaad jaman!!!
 
Back
Top Bottom