Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,137
- 48,808
Hawa ndio waliandika roli badala ya lori.
Anhaaaa. Ndio hawa hawa.Hawa ndio waliandika roli badala ya lori.
Mkuu kwenye hii shule uliyotoa hakika umekomeshaaaaa!! Tumbwa twa CCM huko tuliko tunatamani tujiharishie! Ikulu inatafuta kiki!OBS ni taasisi,tupo kila mahali. Hakuna Jukwaa ninalokosa hakuna
Mzee wa press za kiingereza halafu nchi ya waswahiliThey should recall Mzee Rweyemamu Silva on consultancy terms! Old is gold.
Taaluma hii ungewapa pia magazeti ya Tanzania. Kuna tatizo sana katika kuandika lead story kwenye front page. Unakuta kuna jambo kubwa la kitaifa limefanyika lakini halipewi uzito unashangaa kukuta labda sijui viongozi wa upinzani kupelekwa mahakamani.View attachment 666611
Nimesoma press ya Ikulu ikizungumzia matukio mawili aliyofanya Mheshimiwa Rais leo. La kwanza ni kutembelewa na familia ya Nguza Vicking (Babu Seya) na la pili kuhudhuria msiba wa mke wa Naibu Waziri Kangi Lugola na kutia saini kitabu cha maombolezo.
Kuna makosa ya kitaaluma ambayo hayakupaswa kufanywa na taasisi nyeti kama Kurugenzi ya Mawasiliano, Ikulu. Kwa nia njema kabisa napenda kuyabainisha ili usaidia kuboresha tasnia hii adhimu ya habari.
Mosi
Taarifa ya Rais kutembelewa na Babu Seya imepewa uzito mkubwa kuliko taarifa ya Rais kushiriki msiba wa mke wa Naibu Waziri Lugola. Hii si sawa. Rais kushiriki msiba ni habari kubwa kuliko Rais kutembelewa na familia ya Nguza.
Unapokuwa na habari zaidi ya moja ni muhimu kupima ni habari gani ya kuipa kipaumbele (Lead story). Lazima uhakiishe Lead story inakua a uzito kuliko habari zingine ulizonazo. Unaweza kupima uzito wa habari kwa kutumia vigezo kama Prominence (ukubwa wa mwenye habari). Kwa mfano Rais JPM angetembelewa na Rais wa Marekani lazima habari hiyo ingekuwa kubwa kuliko ya msiba wa Lugola. Lakini si kutembelea na familia ya Babu Seya.
Vigezo vingine ni impact. Habari ya msiba ina impact kubwa kuliko kutembelewa na Babu Seya. Hii ni kutokana na nafasi ya Kangi Lugola katika serikali, na tukio lililomkuta ambalo ni msiba.
Pia kuna vigezo kama Bizzare (tukio la kustaajabisha). Kwa mfano akina Babu Seya wangefika Ikulu then watolewe "nduki" kwa viboko hiyo ingekua habari, lakini kama wamepokelewa vizuri hiyo sio habari. Kwenye taaluma ya habari tunasema mbwa kumuuma mtu si habari lakini mtu kumuuma mbwa ni habari. Thatz Bizzare.!
Vigezo vingine vinavyoweza kutumika kupima habari na ukubwa wake ni kama Timeliness (muda), Proximity (ukaribu wa tukio ether physically or psychologically), Human Interest, Conflict, etc.
Kwa ujumla vigezo hivi huitwa NEWS VALUES. Hivi ndio ambavyo Wahariri huvitumia kujua ni habari ipi iwe Lead Story, ipi iwe Strap story ipi iwe Anchor Story, na ipi itupwe kapuni.
Sasa kwa matukio mawili ambayo Rais ameshiriki leo, ni wazi tukio la msiba lilipaswa kupewa uzito mkubwa zaidi kama Msigwa angezingatia kanuni za kitaaluma.
Huenda Msigwa amezingatia "msisimko" wa tukio la kuachiwa huru kwa Babu Seya na familia yake na kuamua kuipa uzito habari ya Babu Seya kuliko ya msiba. Lakini ukweli ni kwamba msisimko hutokea pale ambapo habari inabreak kwa mara ya kwanza (breaking news). Na kwa Babu Seya breaking news ilikua pale walipoachiwa, sio walipomtembelea Rais leo.
Mbili
Kurugenzi ya mawasiliano kupoteza umakini katika kuripoti habari zake. Mara kadhaa kurugenzi hiyo imeonekana kukosa umakini katika kuripoti takwimu, taarifa, maeneo, majina etc. Hili ni kosa kitaaluma. Katika "Principle of Ethical Journalism" ni lazima unapotoa taarifa/habari iwe na ukweli, na umakini (Truthfullness and Accuracy) na kama ni data ziwe credible. Kunahitajika umakini mkubwa unaporipoti data au taarifa nyingine hasa majina ya watu au mahali. Ni makosa kutumia majina bandia kwenye habari unless uwe umefanya "intentionaly" ili kumlinda source.
Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imewataja watoto wawili wa Nguza kuwa Papii Nguza na Nguza Mbangu. Lakini hakuna mtu anayeitwa Papii Nguza kwenye familia ya Nguza Vicking. Jina halisi ni Johnson Nguza, na jina lake la kisanii ni Papii Kocha. Hilo la "Papii Nguza" sijui Msigwa kalitoa wapi.
Halafu hata Nguza Mbangu (mtoto mkubwa wa Nguza Vicking) ni jina la kisanii. Jina lake halisi ni Michael Nguza. Kwa hiyo Msigwa angeweza kuandika Michael Nguza halafu akaweka bracket akaandika (Nguza Mbangu), ili kuonesha umakini.
Pia kuna makosa ya usanifu kama "mwanae" badala ya "mwanaye". Lakini kwa kuwa ni orthographical error, its tolerable. Kwenye hili tunaweza kumpa "benefit of doubts" kuwa alipitiwa. Lakini huko kwingine ni vizuri wafanyie kazi makosa hayo na wajirekebishe.!
Huna hoja wewe mwenyewe umefanya makosa ya kiuandishi angalia neno "Fadhira" linaandikwa Fadhila, Tatizo mnapenda sana kukosoea mnaugonjwa wa Negative perceptionMmetoka kuogopa katuni,mmefika kwenye kuogopa mambo madogo madogo kama haya
Utaona vp wakati hauko timamu na umemezwa na mahaba niueSioni tatizo hapo kwenye hiyo taarifa. Kupanga ni kuchagua. Acheni wivu wa KIKE.
.Okw wewe ni mpumbavu unaleta masomo yako ya darasani ya Journalism kazini, kama ungekuwa upo makini ungeacha kuwa na ugonjwa wa Inferiority wewe kila kitu cha Serikali upo negative
Mtu gani wewe mawazo yako yote ni kupinga tu, You are Idiot like other idiot,
Badala ya kujadili content kama ujumbe umefika kwa sisi hadhira wewe unajadili majina ooh mtoto wa nguza sijui Mbangu
Hiyo familia yote Sir name au jina la ukoo ni nguza na kila mtu anafahamu,
Unatoka Povu sana naona jana mmekosa la kuandika negative, Shame on you and your close idiots
vipi tena kamanda nini kimebadilika.Wabakaji kuingia Ikulu ni habari kubwa kuliko habari zote mkuu Boban
Nadhani Msigwa alitanguliza hisia zake binafsi.Inaelekea jamaa ni mpenda mziki sana.Ila ni kweli ni lazima taaluma izingatiwe na hapa haikuzingatiwa.View attachment 666611