Watu wa Arusha kuanza kutumia jina Tanganyika badala ya Tanzania ikoje?

Habarini Watanzania,

Kama umeitembelea Arusha siku za karibuni utagundua kuwa baadhi ya wananchi hasa wilaya ya Arumeru wanatumia jina la nchi kama Tanganyika na sio Tanzania.

Kinachoshangaza wanatumia katika mabango ya matangazo ya biashara na mengine ya utambulisho na yapo barabarani kabisa.

Hili inamaanisha nini? Je halichochei kuvunjika kwa Muungano kana kwamba Wananchi hao hawaitambui Zanzibar?

MFANO: Pale Tengeru kuna ubao mkubwa pembezoni mwa barabara kuu umeandikwa "KITUO CHA KUOSHEA KAROTI TANGANYIKA"

Sehemu nyingine katika duka la Pembejeo za kilimo pameandikwa:
.........AGROVET
S.L.P ....
ARUSHA, TANGANYIKA
hakuna uchochezi hapo. Hao wameamka kutoka usingizini. Hata hivyo hata chama cha wanasheria kinaitwa "Tanganyika Law Society"
 
Habarini Watanzania,

Kama umeitembelea Arusha siku za karibuni utagundua kuwa baadhi ya wananchi hasa wilaya ya Arumeru wanatumia jina la nchi kama Tanganyika na sio Tanzania.

Kinachoshangaza wanatumia katika mabango ya matangazo ya biashara na mengine ya utambulisho na yapo barabarani kabisa.

Hili inamaanisha nini? Je halichochei kuvunjika kwa Muungano kana kwamba Wananchi hao hawaitambui Zanzibar?

MFANO: Pale Tengeru kuna ubao mkubwa pembezoni mwa barabara kuu umeandikwa "KITUO CHA KUOSHEA KAROTI TANGANYIKA"

Sehemu nyingine katika duka la Pembejeo za kilimo pameandikwa:
.........AGROVET
S.L.P ....
ARUSHA, TANGANYIKA
Sasa hako ka kituo cha karoti wew unateseka tu nini wakati huku bara kuna wilaya imepewa kabisa jina tanganyika kule kwa mzee pinda pamoja na vijiji na mashirika kibao acha ulimbukeni watu wawe huru na nchi yao. Kwa kuongezea hivi unajua kirefu cha TLS chama cha wale wanasheria wasomi
 
Habarini Watanzania,

Kama umeitembelea Arusha siku za karibuni utagundua kuwa baadhi ya wananchi hasa wilaya ya Arumeru wanatumia jina la nchi kama Tanganyika na sio Tanzania.

Kinachoshangaza wanatumia katika mabango ya matangazo ya biashara na mengine ya utambulisho na yapo barabarani kabisa.

Hili inamaanisha nini? Je halichochei kuvunjika kwa Muungano kana kwamba Wananchi hao hawaitambui Zanzibar?

MFANO: Pale Tengeru kuna ubao mkubwa pembezoni mwa barabara kuu umeandikwa "KITUO CHA KUOSHEA KAROTI TANGANYIKA"

Sehemu nyingine katika duka la Pembejeo za kilimo pameandikwa:
.........AGROVET
S.L.P ....
ARUSHA, TANGANYIKA
Wasaliti....

Wahaini....

#SiempreJMT
 
Tanganyika itapatikana tu, mdogo mdogo
 
Tanganyika isipokuwepo, hakuna Tanzania. Jina Tanzania ni muunganiko wa herufi tatu za kutoka kila upande, Tanganyika na Zanzibar.

TANganyikaZANzibar, halafu ili kulipa sauti nzuri, zikaongezwa herufi IA.

Hivi mwanao akiitwa Azarelson (sawa na anayeitwa Johnson), wewe Azarel unapotea?
 
Habarini Watanzania,

Kama umeitembelea Arusha siku za karibuni utagundua kuwa baadhi ya wananchi hasa wilaya ya Arumeru wanatumia jina la nchi kama Tanganyika na sio Tanzania.

Kinachoshangaza wanatumia katika mabango ya matangazo ya biashara na mengine ya utambulisho na yapo barabarani kabisa.

Hili inamaanisha nini? Je halichochei kuvunjika kwa Muungano kana kwamba Wananchi hao hawaitambui Zanzibar?

MFANO: Pale Tengeru kuna ubao mkubwa pembezoni mwa barabara kuu umeandikwa "KITUO CHA KUOSHEA KAROTI TANGANYIKA"

Sehemu nyingine katika duka la Pembejeo za kilimo pameandikwa:
.........AGROVET
S.L.P ....
ARUSHA, TANGANYIKA
we km siyo shoga utakuja kuwa shoga.
 
Huo muungano ulikuwa wa Nyerere na karume sidhani kama unatuhusu watu wa Arusha, Tanganyika.
 
Back
Top Bottom