Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,169
- 34,187
Habarini Watanzania,
Kama umeitembelea Arusha siku za karibuni utagundua kuwa baadhi ya wananchi hasa wilaya ya Arumeru wanatumia jina la nchi kama Tanganyika na sio Tanzania.
Kinachoshangaza wanatumia katika mabango ya matangazo ya biashara na mengine ya utambulisho na yapo barabarani kabisa.
Hili inamaanisha nini? Je halichochei kuvunjika kwa Muungano kana kwamba Wananchi hao hawaitambui Zanzibar?
MFANO: Pale Tengeru kuna ubao mkubwa pembezoni mwa barabara kuu umeandikwa "KITUO CHA KUOSHEA KAROTI TANGANYIKA"
Sehemu nyingine katika duka la Pembejeo za kilimo pameandikwa:
.........AGROVET
S.L.P ....
ARUSHA, TANGANYIKA