Watu sita mbaroni kwa kula njama za kumuua Dk. Chegeni

Wilaya ya Magu ina majimbo mawili, jimbo la Magu ambalo mbunge wake ni Dr. Limbu na jimbo la Busega ambalo mbunge wake ni Dr. Kamani.

Was the question necesarry really? Yeye ameuliza mbunge wa magu - jibu ni Dr. Limbu ...period! Huyo mbunge wa Busega hakuuliza, so kumtaja hapa is as good as crap!
 
Waacheni wavuane magamba kisawasawa ..huko kwetu kuna nyoka mmoja anaitwa Olunyambabi,huyu nyoka inaaminika akikua huvua gamba lake na kuwa mkali zaidi na hata jina hubadilika na kuitwa Enkolantima,haya ndo magamba ya ccm wanavua moja na sumu inaongezeka maradufu mara Iringa wanajiua,mara wanatafutana kuuana...kaaaaaaazi kweeeeli kweeli,ccm ni Enkolantima

He he he! kweli CCM ni Enkolantima!
 
.....''the killers were promissed sh10mil with initial sh5mil being paid as down payment before the killing and the rest after the work''....(citizen 19/04).
 
Siasa ni mchezo mchafu sana kwa wale wenyeji wa wilaya ya magu wanajua bifu kali iliyokuwepo kati ya dr kamani ambaye ni mbunge wa sasa na dr chegeni ambaye alishindwa na kamani kwenye kura za maoni. Uhasama ulianza mara tu baada ya dr kamani kutangaza nia ya kugombea ubunge. Kuna uwezekano kabisa hiyo plot/njama ikawa imepangwa na huyo aliyeshindwa kwenye kura za maoni ili kumuharibia mwenzeke ambaye ameanza kuula baada ya kuchaguliwa kuwakilisha kwenye bunge la SADC. Yeyote kati ya kamani au chegeni anaweza kuwa amepanga njama hizo ili kummaliza mwenzake kisiasa.. That is politics
 
Siasa ni mchezo mchafu sana kwa wale wenyeji wa wilaya ya magu wanajua bifu kali iliyokuwepo kati ya dr kamani ambaye ni mbunge wa sasa na dr chegeni ambaye alishindwa na kamani kwenye kura za maoni. Kamani na chegeni wanatoka katika kijiji kimoja cha mkula na inasemekana0ni ndugu. Uhasama ulianza mara tu baada ya dr kamani kutangaza nia ya kugombea ubunge. Wakati wa mchakato wa kuelekea uchaguzi dr kamani aliandikwa vibaya na baadhi ya magazeti kwamba anatumia magari ya serikali kwa shughuli zake binafsi. Mara akadaiwa kugawa nyama kwa wanakijiji kutoka katika hifadhi za wanyamapori ambalo yeye alikuwa afisa wa wanyamapori kabla ya kuingia kwenye siasa. Kuna uwezekano kabisa hiyo plot/njama ikawa imepangwa na huyo aliyeshindwa kwenye kura za maoni ili kumuharibia mwenzeke ambaye ameanza kuula baada ya kuchaguliwa kuwakilisha kwenye bunge la SADC. Yeyote kati ya kamani au chegeni anaweza kuwa amepanga njama hizo ili kummaliza mwenzake kisiasa.. Mpaka sasa dr kamani ana kesi ya uchaguzi kwa madai kwamba alitoa rushwa. Inasemekana kuna mkono wa hasimu wake kwenye hiyo kesi. That is politics
 
Back
Top Bottom