Watoto Wanne wa Mwenyekiti wa Chama Jakaya Kikwete

Ingekuwa ni ajabu kubwa la kutukukuka babysitter wa watoto wa JK na housemaid wa familia usipite kukomenti ktk thread hii.

Unatamani ingekuwa ni wewe.

Mimi si ajabu kutaja sifa za ukweli za Kikwete. Ajabu ni wewe na walio kama wewe ambao mnalazimisha kutoziona sifa za Kikwete.

Jee, unajuwa kuwa Kinyerezi II ujenzi unaendelea kwa kasi zaidi?
 
Hata watoto wa Gaddafi Libya walikuwa na viburi na pesa mwisho wao mliona ilivyokuwa. Mali za nchi hazitafunwi hivi hivi one day u will pay back.
 
DSC_0103.jpg


DSC_0130.jpg
Dah samahani mbona huyo anafanana na Slap Olomide? Nauliza tu
 
Hata watoto wa Gaddafi Libya walikuwa na viburi na pesa mwisho wao mliona ilivyokuwa. Mali za nchi hazitafunwi hivi hivi one day u will pay back.
Mkuu hawalijui hilo na hawatakaa walijue maana Mungu amewapiga upofu wasione ila siku ikifika kilio chao hakuna wa kuwapangusa machozi hata watetezi wao hapa Jf watawakimbia
 
Back
Top Bottom