Watoto wa vigogo na ajira BoT

JEROME DIALLO NI MTOTO WA DIALLO?

QUOTE=stata mzuka;6178100]Wafuatao ni wafanyakazi wa Benki kuu ya Tanzania :-
1. Filbert Sumaye
2.Beatrice Bomani
3.Pamela Lowassa
4.Zakaria Kawawa
5.Salama Mwinyi
6.Salama Mahita
7.Rachel Msekwa
8.Jane Sitta
9.Jasmini Karume
10.Radhia Shein
11.Justina Nchimbi
12.Blasia Benjamin W. Mkapa
13.Jerome Diallo
14.Likele Ngasongwa
15.Andy Magufuli
16.Thomas Mongela
17.Jabir A. kigoda
18.Marry Mramba
19.Ismail Meghji

MTOTO WA MKULIMA KAMA MIMI TUTASUBIRI SANA HIYO NAFASI...
SOURCE: Chanzo cha Kuaminika 100%[/QUOTE]
 
Iko fresh tu, nan alimkataza mdingi wako asiingie kwenye system enzi hizo wenzie wanapigwa umande kwenda skonga yeye anajifanya mjasiriamali wa kuchoma mkaa jion anatesa kijijin kwa vijisent kutesa kwa Zamu, janga alochuma mdingi wako ndo hilo linakupanikisha mpaka unaanza umbeya wa kibwege! Onesha hawana vigezo sio kuleta bla bla, wewe na ki advance chako cha CBE au kidiploma cha Zoom unategemea upigwe na kipupwe cha Twin towers, Peleka CV yako Finca ndo levo zako!
Ahahahah umeua mkuu
 
sasa kama wamesoma shule za maana kuanziq primary, degree wamechukua usa huko masters uk utataka ushindane nae wewe mtoto wa ifm ?
Usinichekeshe.....
We gamba umeona ndo kigezo cha maana ? Wacha kudharau wa Tanzania wewe
 
Ndugu yangu hujui Tu. Hata bima wanayotumia pale Ni Ile ya bei ghali Tu wakati waalimu tunatumia kadi za brown za nhif Wao wanatumia bima ya jubilee.bimaa hiyo inawaruhusu luwaagizia dawa popote duniani kwa bei yoyote Ile.
na kwenda kutibiwa nje ya nchi hii yetu changa.
hii ndo maana pamoja na kamshahara kangu kadogo bado nachangia kwenye kampeni za m4c.
nawamba Watanzania wenzangu wenye uchungu Kama Mimi tuunge mkono chama makini ili tuikomboe nchi yetu kwa kusupport m4c.
 
Kwa style hii hutaona BOT ikijitanua kama bank nyingine mfano KCB, BANK OF INDIA, UBA n.k ni ndoto, kwanza watoto wa vigogo waliowengi ni vilaza wamelewa madaraka hawafikrii future ya nchi yetu bali kutesa ndo fikra yao kubwa. Tunahitaji mabadiriko.
Bill Gate quote: kuzaliwa katika family masikini si kosa lako ila kufa masikini ni uzembe " hii kwa Tanzania inawezekana coz kila unapofanya juhudi ccm wanakubana kwa kodi zisizokuwa na msingi au pembejeo fake kama mbolea wao wanakupa chumvi. Umetumia laki 5 kulima unakuja kupata hata elfu 80 haifiki what do you expect. Hii ndo Tanzania every thing is possible. We need changes
 
Katika hii list nawafahamu raia wawili hapo.. Ni magalasa ya kutupwa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
sasa kama wamesoma shule za maana kuanziq primary, degree wamechukua usa huko masters uk utataka ushindane nae wewe mtoto wa ifm ?
Usinichekeshe.....

Za siku tele Faiza Fox? Naona hii makitu imekuibua toka mafichoni Ukerewe!
 
mkuu pamoja na maelezo yako mazuri bado nikukumbushe kuwa vick kamata master hajaipata bado ana vimeo kibao na ubunge umemponza kurudi kufanya vimeo degree alichukua pale sauti hilo halina shaka ila hiyo MBA ya Southampton solent university atasubiri sana haijaipata mpka leo anatakkiwa akafanye dissertation yake, muda mrefu wataumbuka wengi

Mkuu ahsante kwa ushahidi mzuri.
 
Jamani tuache fitna.mtuanasema kigoda kaishiaform four ni miongo.mi nakumbuka nimesoma naye tambaza A level.ila kweli form six alichemsha.huyo mongela si mtoto wa getrude namfahamu sana tom alianzia kazi stanchart.ni majina tu.halafu kinachotakiwa ni kuthibitisha kuwa hawana vigezo kuwa mtoto wa kigogo haikuo
ndolei haki ya kuajiriwa kama una sifa.he sa hao wafanye kazi wapi? Userukamba huo
 
Mkuu hapo ni kamlete nyingi bado hujatajiwa watoto wa wakuu wajeshi, polisi, wakuu wa mikoa,,,hao ni baadhi tu.Na kwanini ni sehemu nyeti tuu?
 
Ndugu yangu hujui Tu. Hata bima wanayotumia pale Ni Ile ya bei ghali Tu wakati waalimu tunatumia kadi za brown za nhif Wao wanatumia bima ya jubilee.bimaa hiyo inawaruhusu luwaagizia dawa popote duniani kwa bei yoyote Ile.
na kwenda kutibiwa nje ya nchi hii yetu changa.
hii ndo maana pamoja na kamshahara kangu kadogo bado nachangia kwenye kampeni za m4c.
nawamba Watanzania wenzangu wenye uchungu Kama Mimi tuunge mkono chama makini ili tuikomboe nchi yetu kwa kusupport m4c.

Umeongea mkuu,,,jamaa hawana jipya tena wameuza kila kila kitu.
 
wakuu kwani hamjui kwamba elimu za watoto wa vigogo ni za kuungaunga, wengi wao ni bange na madawa ya kulevya. Na wegi wao wamepachikwa sehemu nyeti pamoja na ubwege wao na ndo maana nchi yetu haiwezi kuendelea kwasababu wengi wao ni vilaza wa kutupwa. Wakati wote ni kufikiria bar, bange na madawa ya kulevya.
 
Back
Top Bottom