Watoto wa vigogo na ajira BoT

Sifa stahiki wanazo????

Tusibaki tukilalamika tu, tujishughulishe kila mtu ana karama yake pamoja na mahali pake pa kupatia mkate wa kila siku.
 
Ila kiukweli,, wakati mwingine huwa nahisi watu wanaoishabikia UKAWA ni kama wajinga wajinga fulani hivi!
 
Ss unategemea nn, yaani ninavohustle namna kupiga kazi na kujenga network plus kutumia mamilioni kusomesha wanangu, halafu aje kupanga foleni ya interview thubutu

Kama ww n mtoto wa kajamba nan hustle saana ili wanao wasije pitia taabu ulizopitia, na wajukuu waje wale kula kuku kwa mrija kama wanavokula hao mnaowazungumzia ss
 
Back
Top Bottom