Watoto wa vigogo na ajira BoT

1476344741128.jpg


Hakuna ajuaye kesho tuwe na akiba ya maneno
 
Fanya kazi acha propaganda uchwara.Hii inaonyesha jinsi gani ulivyo ki.laza
 
Sikuzote wanaofanya siaza bila kutumia akili
Kutwa kuropoka huishia hivyo
Baadhi ya maneno yao kuyafumbia macho
 
Fanya kazi acha propaganda uchwara.Hii inaonyesha jinsi gani ulivyo ki.laza

Kabisa sasa huyo anayepinga wenzake wasiajiriwe mbona BOT uko na wafanya kazi wengi tena wengine wa kawaida sana wengine walikuwa watoto wa masikini huko nyuma?
 
Hujaeleweka mkuu na sijakuelewa maana sijui ukawa imehusilaje hapo?
 
Back
Top Bottom