zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
Kwani rais wako anawatoto wangapi wa nje ya ndoa sie hatusemi???
Ina maana hauna ushahidi, nyie magwanda mpate mwanya namna hiyo muuachie? dunia itageuka!
Kwani rais wako anawatoto wangapi wa nje ya ndoa sie hatusemi???
Kuzaa ni kuzini?
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?
Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.
Nje ya ndoa ni kuzini
Hizo ni fitina za Rose kamili ili apate uungaji mkono wake wa kusimamisha ndoa ya Dr slaa.Kama utakumbuka moja ya madai ya Kamili ni kuwa hapati huduma ya watoto,hivyo leo amewapeleka bungeni ili apate sympathy.Hata hivyo hawata mweza Dr slaa kwani yeye ni mpambanaji,ninao ushahidi mkubwa kuwa hao watoto mara nyingi wanakuwepo kwa baba yao yaani dr slaa.Kamili anatumiwa na magamba kumchafua slaa.Naibu spika wa bunge baada kipindi cha maswali na majibu ametambua uwepo wa watoto wa Dk. Wilbroad slaa aliozaa na mke wake wa zamani Mbunge viti maalumu Mh.Rose kamili kupitia CHADEMA
(Biblia) Kutoka 20:14
Usizini
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?
Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?
Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.
Mimi najiuliza Ikulu watatumia kiasi gani kugharamia futari musimu huu wa mwezi mtukufu, kwa sababu nyomi la pale huwa sio la kawaida??
walikua shulembona hatujawai kuwaona kwenye maandamano ya chama?? Tafakari!!
hao watoto ni wa umri gani?Hizo ni fitina za Rose kamili ili apate uungaji mkono wake wa kusimamisha ndoa ya Dr slaa.Kama utakumbuka moja ya madai ya Kamili ni kuwa hapati huduma ya watoto,hivyo leo amewapeleka bungeni ili apate sympathy.Hata hivyo hawata mweza Dr slaa kwani yeye ni mpambanaji,ninao ushahidi mkubwa kuwa hao watoto mara nyingi wanakuwepo kwa baba yao yaani dr slaa.Kamili anatumiwa na magamba kumchafua slaa.
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?
Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.
walikua shule
Sema Ni Watoto wa Rais wa Nyumbani kwako uwaambie na Nyumbani kwako Wajue hilo
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?
Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.
Mambo ya Walawi 20:10
Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.