ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,650
Liability ina maana kadhaa na katika muktadha huu maana yake ni mtu au kitu kinacholeta matatizo.
Mkuu mie sijasoma, ila kusema liability ni kitu kinacholeta matatizo kama haijakaa sawa vile. Hivi vitu kama nyumba ya kuishi, gari na vingine vinavyokufanya utumie hela ili viendelee kuwepo vinaleta matatizo? Sijui.
Mimi nadhani liability ni kitu/huduma ambayo kwa namna moja au nyingine itatumia your finances ili uendelee kuipata au iendelee kuwepo.
Mambo kama bill ya dawasco, kodi ya nyumba, VAT, gharama za umeme ndio liabilities, ila sidhani ni matatizo.