Watoto ni liabilities jamani na si assets dah!

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
Hi jf members, jamani juzi nipo na mzee mmoja analalamika eti watoto wake hawana msaada. Nikagundua kwamba tunazaa tu ila watoto ni "liabilities" and not assets. Yaani huwezi rejesha gharama zako za ulezi hata japo expenses zifanane(ku break-even) na vijisenti watakavyokuwa wanakupa. Jamani kuzaa sana mzigo. Naendelea kujipanga...... Na huyo manzi niliyenae awe mpole tu
 
nu upumbavu mno kuzaa watoto kwa lengo la eti waje kukusaidia hapo baadae..
upumbavu kabisaa....
 
wazee wa kiswahili ndo huwa wanaita watoto wao 'pensheni'. MwJ1 alishatoa uzi hapa abt watoto wa kike kuonekana sio kitu,mwisho wa siku ndo wanafanikiwa na kukumbuka walau kuangalia wazazi. the true joy of a parent ni kuona mtoto amekua na kufanikiwa kimwili na kiroho,whether anakugea hela or nt!
 
Assets ni nini na liabilities ni nini?

assets ni nali inayoongezeka thamani kadri siku zinavyokwenda mfano dhahabu,hisa za makampuni,majengo...n.k

liabilities ni vitu unavyonunua kwa pesa nyingi lakini vinapungua thamani kila siku
mfano magari,nguo viatu n.k
 
Anything can be an asset or liability.........mtoto anaweza kuwa asset ikiwa umemuandaa hivyo.....for instance mzee William,mzee Woods hawa ni baadhi ya watu ambao walijitahidi kuwaweka watoto kwenye mstari katika walichopenda watoto kufanya au walichotaka wao wazazi watoto wafanye toka mapema wakiaminia baadae kingewafaa hawa watoto nao kujinufaisha.......baba au mama anakuwa manager wa mwanawe,na mwanawe anamlipa,hii inamuhakikishia mzazi ajira/kipato mpaka uzeeni mzazi a.k.a bonus.......hii ni kule kwa wenzetu lakini......hapa kwetu,labda umuandae awe fisadi,kama viongozi wanvyoandaaa wakwao ili waje washike nafasi kama zao
 
assets ni nali inayoongezeka thamani kadri siku zinavyokwenda mfano dhahabu,hisa za makampuni,majengo...n.k

liabilities ni vitu unavyonunua kwa pesa nyingi lakini vinapungua thamani kila siku
mfano magari,nguo viatu n.k

mmh! Staki kukuuliza sana hapo tusije tukaigeuza topic, kwahiyo watoto ni assets au liabilities?
 
assets ni nali inayoongezeka thamani kadri siku zinavyokwenda mfano dhahabu,hisa za makampuni,majengo...n.k

liabilities ni vitu unavyonunua kwa pesa nyingi lakini vinapungua thamani kila siku
mfano magari,nguo viatu n.k
The boss hapa umetupeleka chaka..
Hii maana ya assets na liability umeitunga mwenyewe!!
 
google........au uliza watu...
usibishe kitu for fun too......
Hiyo uliyodefine hapo siyo maana ya assets wala liabilities... hamna haja ya kugoogle, ni vitu ambavyo nimevisoma na navifanyia kazi.
 
Mkuu watoto ni Asset na sio watoto tu hata binadamu nao ni asset kwa kampuni fulani au nchi fulani...

Na kurudisha gharama sio monetary tu, hata kuwa na mtu wa kukuangalia ukiugua au hata mtu wa kuongea na wewe na kukupa company kwahiyo faida za watoto list is endless (inategemea na mtu mwenyewe) faida haipimwi kwa pesa peke yake....

hata tukiona definition ya asset hapo chini utaona kwamba kulingana na definition ya namba 1 utaona kwamba mtoto anaweza kuwa asset; na hata ile furaha anayokupa ukimuangalia inaonyesha kwamba yeye ni asset

[SIZE=-1]NOUN:[/SIZE]
  1. A useful or valuable quality, person, or thing; an advantage or resource: proved herself an asset to the company.
  2. A valuable item that is owned.
  3. A spy working in his or her own country and controlled by the enemy.
  4. [FONT=arial,sans-serif][SIZE=-1]assets[/SIZE][/FONT]
    1. Accounting The entries on a balance sheet showing all properties, both tangible and intangible, and claims against others that may be applied to cover the liabilities of a person or business. Assets can include cash, stock, inventories, property rights, and goodwill.
    2. The entire property owned by a person, especially a bankrupt, that can be used to settle debts.
 
kwa hiyo hayo mazungumzo yako na huyo mzee yamekufanya u-conclude kuwa watoto ni liability nadha sehemu nzuri ya kujua kama ni asset au liabilities ni kwa wewe kujiuliza "je mimi kwa wazazi wangu ni asset au liabilities? na jee ni liability kwa sababu nilizosababisha mimi au wazazi?
"
 
Liability ina maana kadhaa na katika muktadha huu maana yake ni mtu au kitu kinacholeta matatizo.
Nakubaliana na wewe NN..
refer maana aliyoitoa the The Boss na mifano aliyoitoa..
correct me kama nimekosea kumwambia
 
Hiyo uliyodefine hapo siyo maana ya assets wala liabilities... hamna haja ya kugoogle, ni vitu ambavyo nimevisoma na navifanyia kazi.

wewe kila kitu humu umesomea na unakifanyia kazi?????/
wewe sio ndo ulisemma unafanya kazi ya kujenga nyumba na umesomea?

sasa leo umesomea finance,business na investments????/

siku ile ulisomea house buildings???????/

ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.....
 
wazee wa kiswahili ndo huwa wanaita watoto wao 'pensheni'. MwJ1 alishatoa uzi hapa abt watoto wa kike kuonekana sio kitu,mwisho wa siku ndo wanafanikiwa na kukumbuka walau kuangalia wazazi. the true joy of a parent ni kuona mtoto amekua na kufanikiwa kimwili na kiroho,whether anakugea hela or nt!

Umemaliza king'sti wangu, mwee!
 
wewe kila kitu humu umesomea na unakifanyia kazi?????/
wewe sio ndo ulisemma unafanya kazi ya kujenga nyumba na umesomea?

sasa leo umesomea finance,business na investments????/

siku ile ulisomea house buildings???????/

ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.....
Nimekukubali The Boss kuwa una kunakumbukumbu!
Ngoja niendelee kukupa elimu....Most of Engineers wanafanya MBA kama degree ya pili
kwenye MBA unacover most ya vitu vinavyohusu Finance, Accounting & Investment.
Kuwa na taaluma ya ujenzi haimaanishi kuwa sina pia elimu ya Uhasibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom