Watendaji CCM jukumu la kwanza ni kusifia sifia

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
28,148
36,141
Haya ndiyo maajabu ya serikali za CCM. Zote baba mmoja, mama mmoja.

Ukisikia mtendaji au waziri kuwa ni mzalendo au mchapakazi kweli kweli, basi ujue hapo huyo kawazidi wenzake kwenye ile sifia sifia kama kigezo #1.

Kigezo #2 kipo kwenye kuwakamua wananchi kwa maslahi ya aliyeko kwenye kiti cha enzi. Wasilaumiwe makarani kwenye hili. Ukisikia fulani tenguzi huwa hazimhusu, basi bila shaka atakuwa kawazidi mno wenzake kwenye zile hesabu za siku (mawasilisho).

"Afya, Tamisemi, mambo ya ndani, fedha nk, zinatakiwa pesa."

Hapo ikibidi punda na afe tu ila mzigo lazima ufike.

Yaonyesha hutakiwa kuwa na tabia za wale chawa wetu. Ikikushinda ujue utenguzi utakuhusu asubuhi na mapema tu.

Nani asiyeyajua mashindano ya hadharani kwenye hii sifia sifia hata pasipo stahili? Kila mmoja akijtahidi kumpiku mwenzake.

Tunahitaji mustakabala mpya ambapo watendaji watawajibika kwa watu, siyo kwa kiti cha enzi bila kujali hali.
 
Sahihi ✔️!! Kibaya zaid nilichoshangaa ni pale mwananchi anaambiwa arudi na mavi yake nyumban wakashangilia kinyama!!
 
Haya ndiyo maajabu ya serikali za CCM. Zote baba mmoja, mama mmoja.

Ukisikia mtendaji au waziri kuwa ni mzalendo au mchapakazi kweli kweli, basi ujue hapo huyo kawazidi wenzake kwenye ile sifia sifia kama kigezo #1.

Kigezo #2 kipo kwenye kuwakamua wananchi kwa maslahi ya aliyeko kwenye kiti cha enzi. Wasilaumiwe makarani kwenye hili. Ukisikia fulani tenguzi huwa hazimhusu, basi bila shaka atakuwa kawazidi mno wenzake kwenye zile hesabu za siku (mawasilisho).

"Afya, Tamisemi, mambo ya ndani, fedha nk, zinatakiwa pesa."

Hapo ikibidi punda na afe tu ila mzigo lazima ufike.

Yaonyesha hutakiwa kuwa na tabia za wale chawa wetu. Ikikushinda ujue utenguzi utakuhusu asubuhi na mapema tu.

Nani asiyeyajua mashindano ya hadharani kwenye hii sifia sifia hata pasipo stahili? Kila mmoja akijtahidi kumpiku mwenzake.

Tunahitaji mustakabala mpya ambapo watendaji watawajibika kwa watu, siyo kwa kiti cha enzi bila kujali hali.
Hiyo kazi wanayo Chadem kwa sasa ni CCM B

USSR
 
CCM ni ukoo wa panya; kola mti MuWIZI
 
kuna mmoja ana kwambia kufanya mazoezi uwezi kupata maralia,taifodi na kipindupindu. baada ya kueleza kuzuia kwa mazangira.
ulikuwa ufunguzi wa mazoezi ccm
 
Inataka timu mpya.

FpYebPJWAAErwmD.jpeg

CCM ni ile ile.
 
Back
Top Bottom