Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Pamoja kamanda
Swali la kizushi, Mkuu hujafanya kautafiti kidogo ulaji wake wa mb unakuwaje, mfano kwa lisaa limoja mfululizo nikiwa naangalia naweza tumia mb kiasi gani?
Mimi naangalia kifisadi kupitia net ya ofisini
Sijafanya utafiti wa hilo swala mkuu maana net yangu ni ya unlimited... ila nachokiona ni kwamba TBC inahitaji speed kubwa zaidi ya superS, hivyo kama ni ulaji wa salio TBC ukiitizama ndio itakayofeka salio lako kuliko SuperS.... Ngoja ni zitizame kwa mda nitakuja na data yenye utafiti zaidi.