watch tbc with airtel tigo na hata zantel na voda hapa

Pamoja kamanda
Swali la kizushi, Mkuu hujafanya kautafiti kidogo ulaji wake wa mb unakuwaje, mfano kwa lisaa limoja mfululizo nikiwa naangalia naweza tumia mb kiasi gani?
Mimi naangalia kifisadi kupitia net ya ofisini

Sijafanya utafiti wa hilo swala mkuu maana net yangu ni ya unlimited... ila nachokiona ni kwamba TBC inahitaji speed kubwa zaidi ya superS, hivyo kama ni ulaji wa salio TBC ukiitizama ndio itakayofeka salio lako kuliko SuperS.... Ngoja ni zitizame kwa mda nitakuja na data yenye utafiti zaidi.
 
Nisaidieni mimi natumia simu ya nokia E61i itawezekana?? Kama itawezekana naombeni msaada wenu nianzeje ili niwezekuipata hiyo TBC1 kwa sasa huwa naipata Aljazeera,PressTv,na France24
 
Nisaidieni mimi natumia simu ya nokia E61i itawezekana?? Kama itawezekana naombeni msaada wenu nianzeje ili niwezekuipata hiyo TBC1 kwa sasa huwa naipata Aljazeera,PressTv,na France24
Ebu fanya kamchakato ka kutuwekea streaming links za hzo channel ulizonazo.
 
Safi mkuu, pia waweza kutizama kwa PC yako kwa kutumia Real Player, Winamp,VLC

Uncle Ruckus kwanza pongezi sana kwa msaada wako. mimi nimefanikiwa kuifungua tbc kwa kutumia vlc. pili napenda kujua kama kuna muda maalumu ya hii link ku expire. asante.
 
Wakuu, hapo juu tuko pamoja...

Vipi kuna watu wengine mlio fanikiwa kupata TBC kwa maelezo hayo hapo juu? Mkitujuza itakuwa vizuri zaidi.

Mkuu nimeipata, ingawa inakata kata, inakubidi kurudia rudia kuplay!

Swali! Nikitaka kuzisave hizi link nafanyaje ili nisihangaike kucopy na kupaste kila mara?
 
asante mkuu, naipata vizuri kwa VLC...

c4.jpg

b3.jpg
b4.jpg
 
asanteni sana wakuu, nami naipata kwa VCL!

nimeamini sharing is caring!! kwa kweli naburudika sana

mbarikiwe sana na Mungu awazidishie
 
Mkuu nimeipata, ingawa inakata kata, inakubidi kurudia rudia kuplay!

Swali! Nikitaka kuzisave hizi link nafanyaje ili nisihangaike kucopy na kupaste kila mara?

Mkuu, inakatika katika kwa sababu ya speed ya mtandao wako hauna kasi ya kutosha kuplay bila ya kukatakata.

Hakuna haja ya kusave hizo link, zina ji-save auto, we cha kufanya fungua VLC
nenda kwenye ile sehemu ambayo ulipaswa ku-paste url Type herufi R url zote
ulizokuwa umeziplay zitajitokeza hapo hivyo unachangua unataka ipi ya TBC au ya SuperS....
Bila shaka nadhani utakuwa umenielewa mkuu...
 
Nimekusoma mkuu!
 
Could not locate remote server
You tried to access the address
http://www.rtsp//196.28.65.226/diactus...
which is currently unavailable. Please make
sure that the web address (URL) is correctly
spelled and punctuated, then try reloading
the page.
Make sure your Internet connection is
active and check whether other
applications that rely on the same
connection are working.
E
 
Could not locate remote server
You tried to access the address
http://www.rtsp//196.28.65.226/diactus...
which is currently unavailable. Please make
sure that the web address (URL) is correctly
spelled and punctuated, then try reloading
the page......................

E

Ondoa hiyo niliyoweka red kwenye lin inatakiwa kuwa hivi rtsp://196.28.65.226/diactus/movie.3gp?weUE9Qdy3GHWo2-5Tpic3b47H(i8afKugOTAdmjZcV1ljArP1641PQ7ee3h-yN20
 
Nisaidieni mimi natumia simu ya nokia E61i itawezekana?? Kama itawezekana naombeni msaada wenu nianzeje ili niwezekuipata hiyo TBC1 kwa sasa huwa naipata Aljazeera,PressTv,na France24

Mkuu, kwani unatumia njia ngani kutizama hizo channel? tumia Real Player fungulia hii link ya TBC
 
Back
Top Bottom