Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,460
- 29,158
Ujio wa Hizi huduma za kifedha kupitia simu za Mikononi ukiacha kurahisisha uchukuaji, utumaji, uhifadhi na uwekaji wa Fedha, pia umetengeneza Ajira kwa watu wengi tu ambao labda kabla yake wangekua vijiweni tu.
Lakini pia ujio huu wa hizi huduma umekuja pia na utapeli wa aina ya juu, na wengi wamelizwa kupitia hizi huduma. Labda tu tupeane tahadhari jinsi huo utapeli unavyofanyika ili angalau tuweze kujikinga.
1)KUSEVU NAMBA KAMA TIGOPESA/M-PESA
Utapeli huu unafanyika kwa anaejifanya Mteja kuchukua simu ya muuzaji kisha akaisevu namba yake kama Tigo-Pesa kwenye simu ya muuzaji. Haya yanaweza kufanyika pale ambapo mteja feki anajifanya anataka kutengeneza mawasiliano zaidi na muuzaji.
Kinachofuata ni yeye kutuma msg kwa muuzaji kwamba "Umehamishiwa kiasi cha Tshs...... Kutoka kwa...." ambapo msg hiyo itajionyesha imetoka Tigopesa na mteja/tapeli kuchukua mzigo.
2)CANCEL TRANSACTION THROUGH CUSTOMER CARE
Hii inafanyika kwa mtumaji hela kununua mzigo na kutuma Tigopesa halali, kinachofuata ni kua mkiachana tu mnunuaji/tapeli anapiga simu Customer Care na kusema kua ametuma wrong number hivyo anaomba a-cancel transaction huku akiwa kshaondoka na mzigo.
3) HAMISHA HELA KUPATA JINA KISHA FREEZE NAMBA
Mbinu hii inatumika kwa Tapeli kuhamisha japo alfu 2 mradi tu apate jina la mtumiaji wa hiyo namba baada ya kuhamisha.
Kinachofuata ni Tapeli kwenda kwenye kibanda cha tigopesa na kujifanya yeye ndio mwenye namba hiyo nmba Na jina lake ndilo hilo na kaipoteza hivyo anaomba kui-freeze ili afunguliwe ingine.
Baada ya hapo, tapeli akiwa na laini ya wizi anaanza kutuma msg kujifanya amekwama hivyo anaomba asaidiwe.
Mbinu hii ili ifanikiwe inabidi amlainishe sana mwenye kibanda, ikiwezekana hata kumhonga ili aweze kupata namba mbalimbali zilizowasiliana na hiyo laini.
Wakuu wangu ni haya tu ningependa tu-share kwa leo.