drphone
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 3,542
- 281
Good Question Mkuu. Mwenye kujua ni bure hajui kama 3G services inalipiwa
mkuu service ya 3g unalipiaje me najua unapofungua tv online kupitia net ya 3g inakuwa na kasi na pesa inakwenda nyingi
Good Question Mkuu. Mwenye kujua ni bure hajui kama 3G services inalipiwa
mkuu service ya 3g unalipiaje me najua unapofungua tv online kupitia net ya 3g inakuwa na kasi na pesa inakwenda nyingi
So much hype for something that is in every sense very nascent! Streaming live video broadcast via 3G is like trying to do naught to sixty in 3 seconds in a 1920s automobile! You'll have networks chocking and important voice bandwidth compromised in no time. Tusubiri 4G itakayoanza kuonekana in the next 3 to 4 years around the world. Well, 2 years kama standard zake zinakuwa approved soon na The International Telecommunication Union for Radiocommunication Sector (ITU - R). Cause even those standards currently being taunted as 4G (i.e. WiMax & LTE) are actually not 4G compliant according to the ITU-R!! Wee hebu fikiria, hata video call tu yenyewe mpaka leo hii bado inasuasua pamoja na kuwepo kwa handset zenye front facing camera kwa zaidi ya miaka minne sasa, hata huko Ulaya na Amerika video call na live video mobile streaming bado vinasuasua. But who am I to dissuade an easily led customer base, not only that; who am I to discount this kind of hyped up IT advancement taking into consideration that M-PESA is one of Africa's success story whereas in Europe and America similar things have failed.
Happy streaming!
Steve Dii
Stick with Youtube!!ur point exactly........?
Kang Iphone has live streaming capabilities through its VLC Player application which is to be installed on the phone',,hii dstv ya vodacom wanazingua tu ni lazima ilipiwe, kuna hizi protocol kwaajili ya simu na zina quality ya 3gp. kwenye computer paste hiyo protocol kwenye vlc na kwenye simu ipaste kwenye real player..Basi labda kuna tatizo
Jaribuni haya
In general, all 3G handsets with live video streaming capability will be able to access DStv Mobile from Vodacom. Users may check if they have Real Player application on their phones.
·
At present, iPhone, BlackBerry and Opera Mini browsers are not supported. In the case of Opera Mini, user must use the devices native browser.
·On some devices, the video player may not be able to access until APN is selected. This should be Vodacom Internet set under Settings or Options of the player
Should you have any questions or concerns please dial 100 (Kiswahili) or 101 (English) directly from your cellphone at no cost