Rais Samia, wasikilize wananchi wanaodai Katiba, tuendako kuna giza nene. Wasikudanganye waliokuzunguka, tulipofika siko tulikotoka

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,403
74,017
Tulipofka hata wale "wajinga" sasa wameelewa hitaji la katiba mpya na sheria za uchaguzi. Maelezo ya Lisu na wenzake yameeleweka sana kwa watu hata wale usiowadhania au unaowatumainia kupata kinga kwao au kutoa Amri. Kuna ukweli karibu watu wote wanaukiri kuwa tunahijai katiba mpya!

Hatawa mwandani wako wanaukiri ukweli huo hawataki kukwambia ukweli.

Nyetere alisema pamoja na kura kuonesha kuwa watu wanataka mfumo wa chama kimoja, lakini ualisia na muda hauko hivyo! Akashinikiza mfumo wa vyama vingi.
 
Kwaiyo katiba mpya ni kwa hisani ya Rais Samia? Hata ikiandikwa katiba mpya Bado itaandikwa na CCM
 
Kama upo jf kwa miaka kadhaa na huoni umuhimu wa mabadiliko ya katiba, unadhani katiba ya 1977(ambayo kizazi hiki hakikushirikishwa)ipo sawa, inabidi uongozi wa jf ukupe life ban. Hufai kuwa humu.
Elezea kutofaa kwa katiba ya 1977 na kufaa kwa katiba hiyo mnayoiimba,na si kebehi,dharau na ujuaji
 
Tulipofka hata wale "wajinga" sasa wameelewa hitaji la katiba mpya na sheria za uchaguzi. Maelezo ya Lisu na wenzake yameeleweka sana kwa watu hata wale usiowadhania au unaowatumainia kupata kinga kwao au kutoa Amri. Kuna ukweli karibu watu wote wanaukiri kuwa tunahijai katiba mpya!

Hatawa mwandani wako wanaukiri ukweli huo hawataki kukwambia ukweli.

Nyetere alisema pamoja na kura kuonesha kuwa watu wanataka mfumo wa chama kimoja, lakini ualisia na muda hauko hivyo! Akashinikiza mfumo wa vyama vingi.
Subiri makada kutoka kijiwe chakavu watakuja kukusagia kunguni
 
Tulipofka hata wale "wajinga" sasa wameelewa hitaji la katiba mpya na sheria za uchaguzi. Maelezo ya Lisu na wenzake yameeleweka sana kwa watu hata wale usiowadhania au unaowatumainia kupata kinga kwao au kutoa Amri. Kuna ukweli karibu watu wote wanaukiri kuwa tunahijai katiba mpya!

Hatawa mwandani wako wanaukiri ukweli huo hawataki kukwambia ukweli.

Nyetere alisema pamoja na kura kuonesha kuwa watu wanataka mfumo wa chama kimoja, lakini ualisia na muda hauko hivyo! Akashinikiza mfumo wa vyama vingi.
Atafanya mchakato wa Katiba mpya kwa jinsi anavyoona inafaa. Hawezi kufanya kwa ajili ya kumridhisha Tundu Lissu au Zitto Kabwe
 
Tulipofka hata wale "wajinga" sasa wameelewa hitaji la katiba mpya na sheria za uchaguzi. Maelezo ya Lisu na wenzake yameeleweka sana kwa watu hata wale usiowadhania au unaowatumainia kupata kinga kwao au kutoa Amri. Kuna ukweli karibu watu wote wanaukiri kuwa tunahijai katiba mpya!

Hatawa mwandani wako wanaukiri ukweli huo hawataki kukwambia ukweli.

Nyetere alisema pamoja na kura kuonesha kuwa watu wanataka mfumo wa chama kimoja, lakini ualisia na muda hauko hivyo! Akashinikiza mfumo wa vyama vingi.
Lucas mtoa namba nadhani umepokea na uachane na Uchawa ! Sio wakati wake waTanzania wanajitambua!

Kwanza swala fomu 1 ya ugombea ni matusi kwa waTanzania.
Ina maana huko CCM ni makapi matupu yako humo??
 
Hivi nyie watu mnakula katiba?yaani badala ya kutafuta urafiki na hela nyiee kila siku katiba ,katiba,si kitabu tu hicho.
Wapuuzi nyie hata mkipewa mpya mtasema haijaandikwa vizuri.
Katiba inakusaidia nini wewe kwa mfano,katika daily life katiba inakusaidia nini.
 
Tulipofka hata wale "wajinga" sasa wameelewa hitaji la katiba mpya na sheria za uchaguzi. Maelezo ya Lisu na wenzake yameeleweka sana kwa watu hata wale usiowadhania au unaowatumainia kupata kinga kwao au kutoa Amri. Kuna ukweli karibu watu wote wanaukiri kuwa tunahijai katiba mpya!

Hatawa mwandani wako wanaukiri ukweli huo hawataki kukwambia ukweli.

Nyetere alisema pamoja na kura kuonesha kuwa watu wanataka mfumo wa chama kimoja, lakini ualisia na muda hauko hivyo! Akashinikiza mfumo wa vyama vingi.
Machadema ndio Wananchi si ndio? Katiba haipatikani kizembe hivyo
 
kama lisu ndo your idea guy. you are useless.
Sitaki matusi tafadhali. Why all this abusive language? You just slip if you are not happy with my post, not kutukana.

Basi muulize mama yako kama mimi ni useless, atakwambia ukweli kuwa mimi ni mkamilifu
 
Kwaiyo katiba mpya ni kwa hisani ya Rais Samia? Hata ikiandikwa katiba mpya Bado itaandikwa na CCM
Akisema leo kuwa kesho andika katiba kama wanavyopendekeza wadau, itaandikwa kwa nguvu za kikatiba alizo nazo....Rais Mfalme
 
Hivi nyie watu mnakula katiba?yaani badala ya kutafuta urafiki na hela nyiee kila siku katiba ,katiba,si kitabu tu hicho.
Wapuuzi nyie hata mkipewa mpya mtasema haijaandikwa vizuri.
Katiba inakusaidia nini wewe kwa mfano,katika daily life katiba inakusaidia nini.
we waache wapiganie , we tafuta urafiki na hela kila mtu na kile anacho amini.
 
Elezea kutofaa kwa katiba ya 1977 na kufaa kwa katiba hiyo mnayoiimba,na si kebehi,dharau na ujuaji
iwe katiba ya1977 inafaa au haifai suala la muda ni muhimu sana kuzingatiwa, kuna mabadiliko mengi ya kiuchumi,kisiasa na kijamii yanayohitaji mwenendo mpya wa kikatiba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom