Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

Wavivu ni nyie mnaomshambulia maana mmekurupuka kama ndama hapa anaongelea watu wengi wmekuwa hawajishughulishi bali wanakaa na kupiga stori na mud mwingi wanautumia kuangalia muvie na kustarehe badala ya kuwa na kiu ya ubunifu na kupunguza kama si kyacha starehe.
Kuchati muda mwingi nako ku asababisha watu kuwa wavivu na kuacha kubuni miradi na kufanya kazi nb mtu hutakiwi ukae zaidi ya masaa manne sehemu moja akili yako haiwezi kufanya kazi ipasavyo na unakuwa mjinga wa kuongea majungu na unabaki na akili za kihuni tu hayo ni mazao ya uvivu:cool:
 
Ilani za CCM huwaambia vijana na wananchi kwamba itawaletea maendeleo, Kama unakumbuka 2005 kulianzisha fuko fulani likabatizwa Mabilioni ya NJEIKEI sijui fuko lilitobolewa na akina nani>. Pia wanatwambia Bush atatusaidia, Obama atatusaidia, Tony B;air na Cameroon watatusaidia Rais wa China Hujintao atatusaidia upo wimbo mnono wanasema ni nchi ya amani na utulivu, Mungu kaibariki na inazo raslimali tele, na muungano ulindwe kwa gharama yoyote ile.
 
Ila it's true na ubaya wa watanzania ni kwamba hawapendi kuambiwa ukweli kwa sababu inawagusa. I would say 98% yetu tuko incompetent.

98% unaelewa maana yake ? Msipende kujidhalilisha. Maisha ya hawa 98% yanaendeshwa na nano kama wao ni incompetent. Au kizungu kinakutinga mkuu? 98% incompetent????
 
Mfumo mbovu kuanzia juu mpaka chini huku, hakuna motivation viongozi wanaangalia familia zao badala ta nchi.....uwajibikaji mmefuta kwenye katiba mpya yaani shida tupu!!
 
Wewe ukitaka kujuwa uvivu wa Watanzania fika ofisi za serikali wakati wa kazi. Mtu badala ya kuhudumia watu, yeye anaperuzi Insta au FaceBook na hana habari kabisa na watu. Pia utakuta ule muda wa kazi hakuna hata mtu ofisini na ukibahatika kukuta mtu atakuambia muhusika hayupo. Sasa unajiuliza kama muhusika hayupo kwa nini unashikilia nafasi yake?
 
98% unaelewa maana yake ? Msipende kujidhalilisha. Maisha ya hawa 98% yanaendeshwa na nano kama wao ni incompetent. Au kizungu kinakutinga mkuu? 98% incompetent????


Yes, 98% incompetent including rais wetu....kwani kuna shida au hutaki ukweli na wewe?
 
Back
Top Bottom