Wameshaharibu wabongo siku nyingi tu, trip za Australia walizianza tangu mwaka 1998 kutokea Cape Town, na at the same time soko la mauritius likajulikana mwaka huo huo, hicho kilikuwa ni kipindi cha quick money ndio kilichosababisha vijana wengi kupotoka kudhani South Africa kuna pesa rahisi.
Maana ilikuwa kila mtu anayerudi Tanzania hakuna anayerudi kwa ndege kila mtu anarudi huku anasukuma mkoko wake wa ukweli.
Tatizo kubwa Watanzania hawako well informed, nakuhurumia sana, hiyo njia ya Mozambique ni mateso matupu kama ulikwenda kwa barabara, na wengi waliokuwa wanapita huko walikuwa hawana viza za kuingia South Africa walikuwa wanategemea kwenda kuruka fence, maana South mpaka wao wote umezungushiwa fence.hii mambo ya kuzamia south ilikuwa ndo michezo ya watoto wa Tanga, 1996 nikiwa primary school kule Tanga na washikaji zangu Alex Mwacha(R.I.P) huyu alipigwa shaba alikufa, wakina musa kidundo,na ally Kitogo tulijaribu bahati yetu ya kwenda huko south ila daah yalinishinda nikarudia njiani(Maputo) ninachofahamu Alex alipigwa shaba na maaskari na kufa, hao wengine mpaka leo hatuna habari zao kabisa
Ndo tatizo la kutaka kupata pesa harakaharaka, mbona kuna njia nyingi za kupata pesa kwa njia halali na kwa amani kabisa?
Tatizo kubwa Watanzania hawako well informed, nakuhurumia sana, hiyo njia ya Mozambique ni mateso matupu kama ulikwenda kwa barabara, na wengi waliokuwa wanapita huko walikuwa hawana viza za kuingia South Africa walikuwa wanategemea kwenda kuruka fence, maana South mpaka wao wote umezungushiwa fence.
Ulipaswa uwe na Viza then safari yako kwa barabara ingekuwa hivi....
Dar to Lusaka to Harare to Beitbridge border to Johanessburg.
The question is who is your host? if the answer you don't have, then how much do you have to pay for your accommodation and daily nourishment? at least for one month.
Hizo ndio basic plan kwa safari.
Embu wekeni ushaidi tujue kama ni yeye kweli.
Hivi ningekulenga wewe mkuu si ningekutumia pm tu, hapa tunaweka vitu kwa faida ya wengi, hapo ulipoanzia wewe kuna wengine leo hii ndio wapo stage hiyo, maandiko haya huwasaidia wengine.That was back in 1996 dude, now i can go anywhere i want!! u don't need to tuition me the abc of travelling!!
That was back in 1996 dude, now i can go anywhere i want!! u don't need to tuition me the abc of travelling!!