Mamelodi wanaweza kucheza CAF champions league final na Al ahly kisa FIFA doping rule

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
1,107
2,114
Shirika la Kupambana na Dawa za Kulevya Duniani limethibitisha kuwa Tunisia haizingatii Kanuni za Dunia za Kupambana na Dawa za Kulevya na kuiwekea nchi hiyo vikwazo. Sundowns inasubiri tangazo rasmi la CAF tu kucheza na Al Ahly katika CAFCL huku ES Tunis ikishindwa kuwakaribisha Al Ahly katika fainali ya CAFCL huku wingu la dawa za kusisimua misuli likiwa limetanda vichwani mwao.

Shirika la Dunia la Kupambana na Dawa za Kulevya (WADA) lilieleza kuwa Shirika la Kitaifa la Kupambana na Dawa za Kulevya nchini Tunisia (ANAD) halikupinga madai ya kutotii ndani ya siku 21 baada ya ilani ya mwisho ya WADA, na hivyo kusababisha kurejeshwa kwa ilani rasmi tarehe 8 Aprili 2024 uamuzi wa mwisho kutekelezwa. mara moja.


1714580050661.jpeg

1714580086488.jpeg
 
Nisingesoma comment na venye sijui kiingereza nilikuwa nataka ku comment kuwa " hii timu kwaa kubebwa hawajambo"
 
Na sisi huku NBC tunasubiri TFF waiweke hadharani hiyo barua ya FIFA inayoihusu Yanga kupokwa points kwenye kila mechi aliyocheza Role Model wa Chama.
Yeah, ili point zote mpewe Simba muwe nafasi ya 3.
 
Kiingereza lugha ngumu sana. Wapi kwenye hilo tangazo dhidi ya ANAD kumetajwa FIFA Doping rule?
Hivi mleta hii mada umesoma na ukaelewa bandiko lote la WADA?
sheria ipo hivyo. caf wapo strict na doping. caf decision is coming
 
Na sisi huku NBC tunasubiri TFF waiweke hadharani hiyo barua ya FIFA inayoihusu Yanga kupokwa points kwenye kila mechi aliyocheza Role Model wa Chama.
Mnatapataps sana ,baada ya kucheza mpira
 
Na sisi huku NBC tunasubiri TFF waiweke hadharani hiyo barua ya FIFA inayoihusu Yanga kupokwa points kwenye kila mechi aliyocheza Role Model wa Chama.
Akili za chooni .... Mnasubiri kamselelekoo...ganda la ndizi? Mtapigwa pipe nyuma Waheed.
 
Mamelodi washazoea vikombe vya mahakamani, hata 2016 walichukua ubingwa kupitia mahakama, badala ya kupambana uwanjani wanategemea mbeleko
 
Back
Top Bottom