Watanzania tuungane kupinga ajira za undugu TRA, BOT, TBC, EWURA

Acheni uwongo mbona mi nafanya sehemu mojawapo hapo Katie ya TRA naBOT sitaki Kuitaja ni ipi nafanyia kazi na nimeajiriwa karibu mwaka sasa na sikushikwa mkono na mtu yoyote nanilishafanya usahili sehemu nyingi tu na nilikua siitwi nami nikawa na hisia izo izo..lakini ajabu nikaitwa huko
 
Tuache kulalamika tuunganishe nguvu kupinga uovu uliopo kwa vitendo, ni wakati sasa watu ikibidi hata kupinga utaratibu wa ajira fulani mahakamani ili usaili urudiwe na tume iliyohusika kubadilishwa. Lakini tukisema tuna lalamika tu wanaendelea kula hao hawana aibu. Watu waibuliwe kuwepo na ujasiri wa kuhoji, hilo likizoeleka katika jamii waajiri watakuwa na hofu. Vinginevyo kauli zile za huu ni upepo tu utapiata na hataisha utatumaliza.
 
Acheni uwongo mbona mi nafanya sehemu mojawapo hapo Katie ya TRA naBOT sitaki Kuitaja ni ipi nafanyia kazi na nimeajiriwa karibu mwaka sasa na sikushikwa mkono na mtu yoyote nanilishafanya usahili sehemu nyingi tu na nilikua siitwi nami nikawa na hisia izo izo..lakini ajabu nikaitwa huko

Hali kama yako inatokea hasa nafsi zinapokuwa zaidi ya moja ili kuficha ukweli, ili hata likitokea la kutokea wanapakuanzia kujitetea na wewe ndiyo utakuwa reference.
 
Labda tupate majina na ujuzi wao ili tujue wanastahili au la.

Pamella Lowassa,
Filbert Frederick Sumaye,
Zalia Kawawa,
Harieth Lumbanga,
Salama Ally Mwinyi,
Rachael Muganda,
Sylvia Omari Mahita,
Justina James Mungai,
Kenneth John Nchimbi,
Blassia Blassius William Mkapa,
> Violeth Phillemon Luhanjo,
Liku Irene Katte Kamba,
Thomas Mongella,
Jabir
Abdallah Kigoda
 
Tatizo mfumo! Kama wewe si wa imani ile ujue kuwa huwezi pata ajira ... mameneja waajiri wote wako kwenye parokia ileee...ya vigogo...
 
Pamella Lowassa,
Filbert Frederick Sumaye,
Zalia Kawawa,
Harieth Lumbanga,
Salama Ally Mwinyi,
Rachael Muganda,
Sylvia Omari Mahita,
Justina James Mungai,u
Kenneth John Nchimbi,
Blassia Blassius William Mkapa,
> Violeth Phillemon Luhanjo,
Liku Irene Katte Kamba,
Thomas Mongella,
Jabir
Abdallah Kigoda

Siamini mkuu
 
MULAUMU baba zenu...wakati wazee wao wanahangaika wao walikuwa wapi?haterz banaah.
 
Back
Top Bottom