alafu tuje uchaga CRDB....Kazi kweli kweli mkimaliza hapo mkapinge na udini NSSF kwa Dau
Mwita Maranya hii secretariat inakinzana na sheria zingine za uanzishwaji wa taasisi za serikali. Kuna taasisi ambazo sheria zake zinasema kwamba mkuu wa taasisi ndiye ana uwezo wa kuajiri na kufukuza. Lakini sasa kuna hii sheria ya hiyo secretariat inasema yenyewe ndio inatakiwa kuinterview watu na kuwapost kwenye taasisi. Hivyo unakuta watu wanapelekwa kwenye taasisi huku hawana uwezo"
Labda tupate majina na ujuzi wao ili tujue wanastahili au la.
alafu tuje uchaga CRDB....
Wewe kama sio choko basi niwali wa mtu.
alafu tuje uchaga CRDB....
Nhci ilishaoza kitambo.
Kutokana na hali ilivyo, kwenyemijadala ya namna hii, Great Thinkers, je iwe:
1. Marufuku tasisisi ya umma (au hata binafsi?) kuwa na watumishi zaidi ya mmoja wanaotoka ama mkoa mmoja, au wilaya moja, au hata kabila moja?
2. Ni Marufuku kwa mtu yeyote kuomba kazi kwenye taasisi ambayo tayari kuna mtu wa kabila lake?
3. Katika CV, lazima kiwepo kipengele kinachoulizia kabila (kama ilivyo kwa dini?
4. Kabila la mtu liingizwe kwenye vitambulisho vya taifa vinavyokaribia kutoka?
5. Kuwe na uwezekano wa kubadilisha kabila, ili hata makabila mengine yafaidi?
6. .....
7.......
Mmh hapo TRA,BoT,TBC,na Ewura lazima uwe muhaya hata kama huna elimu kazi utapata tu cha msingi uwe na ndugu
Niliitwa B.O.T kufanya interview IT department nilijuta kumbe nilienda kuuza sura kwenye vile viyoyozi maana ilikua ni stress interview kwa wengi wetu undugu unafanyika waziwazi mtu anamleta mtoto wake au ndugu yake bila aibu hawasubiri utaatibu wa kuingia kwa kuitwa wao wanapitiliza na kuondoka sie kina kayumba tuliwekwa hadi jioni