Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,423
- 1,251
Mfuko je ungemganda pia. Bora kujisalimisha ukiwa na bidhaa vinginevyo mambo yangekuwa mabaya zaidi.Mda wooteeee anahangaika na mzigo si angeweza kutoboa hilo furushi apunguze mzigo..
Mfuko je ungemganda pia. Bora kujisalimisha ukiwa na bidhaa vinginevyo mambo yangekuwa mabaya zaidi.Mda wooteeee anahangaika na mzigo si angeweza kutoboa hilo furushi apunguze mzigo..
Nipe muda kidogoIlikuwaje mkuu hebu toa full story tupate kufahamu.
asiposhikilia maumivu anayapata mara mbili hapo....unaposhikilia angalau unapata ahueni....shingo inaweza vunjika
Una uhakika gani?Nadhani alikuwa anatafuta balance tu usimuelemee lakini ulimganda kweli...
It's was really....
hahaha, poa tayari......aisee pc zangu mbili zimeunua hard discs....tanesco morogoro wameniua aisee...zote zmeungua wakati mmoja. umeme ulipokata mara ya kwanza...ziliwaka vizuri...ukakatwa tena....aisee jumla haziwaki, naweka windows zinagoma tangu j'pili. na simu nmeibiwa....Huku nakuja kwa manati sana. Nashughulikia PC moja ikipona nitakuwa active muda wote......Dundo Fungua Pm Jomba
Autoboe mfuko kilichopo ndani kimwagike tu aache uvivu wa kufikiri
Why aushikiliea? Mama zetu wanawekaga ndoo za maji vichwani bila kushikilia, lakini wakiinama ndoo hudondoka... SASA HUYO KAUSHIKA MWANZO MWISHO HALAFU HAKUNA HATA MAHALA PANAPOONEKA KUNG'ANG'ANIWA NA MZIGOHiyo mi nahisi kweli, jamaa kapigishwa gwalide na mzigo the whole day, kudadadek,
Hii akili sana,huwez shndwa fikiria akili hii ukiwa na shidaAutoboe mfuko kilichopo ndani kimwagike tu aache uvivu wa kufikiri
Kwa hiyo unataka kutuaminisha na Police walishiriki huo ujinga? Unapojaribu kufungua ama kutobia maumivu ya jamaa ni hatari; akisimama inakuwa nafuu akilala ndiyo balaa.Autoboe mfuko kilichopo ndani kimwagike tu aache uvivu wa kufikiri
Mtu hawezi kukubali kujidhalilisha kiasi hiki, na hata kufungwa jela, kwa sababu ya kutumiwa. Huyo mganga atakuwa alimlipa Tsh ngapi wakati mganga mwenyewe aliyefanya hayo maarifa hajajitokeza? Usituaminishe jambo bila kuwa na data sahihi na za kutosha mkuu.Bongo bhana, full filimee, sasa kama huo mzigo umeng'ang'ania kichwani anaushikiria wa nini? Hii ni 'script' inatengenezwa watu waingizwe mjini, bongo watu wamechoka na shida zetu lazima wamtafute huyo mganga ili 'awatengenezee' mali zao
Ukiwa brainwashed utafanya lolote.Mtu hawezi kukubali kujidhalilisha kiasi hiki, na hata kufungwa jela, kwa sababu ya kutumiwa. Huyo mganga atakuwa alimlipa Tsh ngapi wakati mganga mwenyewe aliyefanya hayo maarifa hajajitokeza? Usituaminishe jambo bila kuwa na data sahihi na za kutosha mkuu.
Mtu hawezi kukubali kujidhalilisha kiasi hiki, na hata kufungwa jela, kwa sababu ya kutumiwa. Huyo mganga atakuwa alimlipa Tsh ngapi wakati mganga mwenyewe aliyefanya hayo maarifa hajajitokeza? Usituaminishe jambo bila kuwa na data sahihi na za kutosha mkuu.