Watanzania tumepigwa changa la macho mchana kweupe suala la 'mzigo kung'ang'ania kichwani'

Si angetoboa mfuko tuu...mahindi yachuruzike.... ama pia yangegoma.. hapa watu wanapikwa waive...
 
kwani kiroba kilikuwa hakichaniki kwa kisu? Kenya walipigwa hivihivi..Nilipoona RPC anatoa taarifa nikamuona nae kumbe yumo kwenye dili
 
Dundo Fungua Pm Jomba
hahaha, poa tayari......aisee pc zangu mbili zimeunua hard discs....tanesco morogoro wameniua aisee...zote zmeungua wakati mmoja. umeme ulipokata mara ya kwanza...ziliwaka vizuri...ukakatwa tena....aisee jumla haziwaki, naweka windows zinagoma tangu j'pili. na simu nmeibiwa....Huku nakuja kwa manati sana. Nashughulikia PC moja ikipona nitakuwa active muda wote......
tazama pm tayari nmejibu mkuu
 
Walishindwa kuchana huo mfuko mahindi yakamwagika akavua shati akatupa na huo mfuko????
 
Hiyo mi nahisi kweli, jamaa kapigishwa gwalide na mzigo the whole day, kudadadek,
Why aushikiliea? Mama zetu wanawekaga ndoo za maji vichwani bila kushikilia, lakini wakiinama ndoo hudondoka... SASA HUYO KAUSHIKA MWANZO MWISHO HALAFU HAKUNA HATA MAHALA PANAPOONEKA KUNG'ANG'ANIWA NA MZIGO
 
Huu mchezo hasa Morogoro mashambani unaitwa "Bukura"; ni mchezo wa kawaida kabisa kutega shamba; mali zako ama mkeo.

Kwa nyie wageni wa sayansi hii ya kienyeji lazima mbakie midomo wazi. Kutega mtu mwizi wa mali zako ama mkeo ni kazi rahisi sana sema watu hatupendi tu sababu ya imani zetu na pengine haki za binadamu.

Its just a simple magic game; kama huamini hayo ni yako. .
 
Autoboe mfuko kilichopo ndani kimwagike tu aache uvivu wa kufikiri
Kwa hiyo unataka kutuaminisha na Police walishiriki huo ujinga? Unapojaribu kufungua ama kutobia maumivu ya jamaa ni hatari; akisimama inakuwa nafuu akilala ndiyo balaa.

Kama mtu angeutoboa ule mfuko kwa kisu yeye na yule aliyenasia ndo ingekuwa mwisho wao. Hata hivyo Police walijiongeza kidogo kutofanya hovyo.
 
Bongo bhana, full filimee, sasa kama huo mzigo umeng'ang'ania kichwani anaushikiria wa nini? Hii ni 'script' inatengenezwa watu waingizwe mjini, bongo watu wamechoka na shida zetu lazima wamtafute huyo mganga ili 'awatengenezee' mali zao

31936591_1697110530381178_178449921144258560_n.jpg
Mtu hawezi kukubali kujidhalilisha kiasi hiki, na hata kufungwa jela, kwa sababu ya kutumiwa. Huyo mganga atakuwa alimlipa Tsh ngapi wakati mganga mwenyewe aliyefanya hayo maarifa hajajitokeza? Usituaminishe jambo bila kuwa na data sahihi na za kutosha mkuu.
 
Ukiwa brainwashed utafanya lolote.
 
Mtu hawezi kukubali kujidhalilisha kiasi hiki, na hata kufungwa jela, kwa sababu ya kutumiwa. Huyo mganga atakuwa alimlipa Tsh ngapi wakati mganga mwenyewe aliyefanya hayo maarifa hajajitokeza? Usituaminishe jambo bila kuwa na data sahihi na za kutosha mkuu.
 
Mimi niliamua kukaa kimya kwenye hili sakata la huyu kijana kuwatapeli wabongo mchana kweupe.

Na wabongo walivyo wepesi wa kuamini yaani huwa hawajiulizi mara mbili.
 
Back
Top Bottom