Watanzania tumepigwa changa la macho mchana kweupe suala la 'mzigo kung'ang'ania kichwani'

Hii kitu watu wengi watapigwa sana hapa...

Kama mzigo umeng'ang'ania kwa mujibu wa jamaa, mbona rahisi wachukua kisu wachane kiroba na wakinge hicho kilichomo ndani kwenye ndoo, tuone kama hicho kiroba hakijaanguka chini chenyewe...

Cc: mahondaw

sijaelewa smart picha yahusu nini??
 
Hivi si angelala chini na mzigo wake,mtu yuko polisi eti mzigo umeng'ang'ania si ulale chini,,changa la macho
 
sijaelewa smart picha yahusu nini??
Jamaa mmoja anajifanya kiroba hakishuki kutoka kichwani kisa eti kakiiba kutoka kwa bibi mmoja...

Sakata limeenda hadi polisi, eti hadi polisi nao wakashindwa kumtoa hicho kiroba cha mahindi...

Ikabidi huyo bibi aitwe, ndiyo kafanya uongo wake hapo eti kiroba ndiyo kimekubali kushuka kutoka kichwani kwa jamaa...
 
Hahahahaha thanks my king
 
Yote ni sababu haukuona au hakijakutokea!Binadamu hatujalazimishwa kuamini kila kitu!Hata wenzio wakati wanaingiliwa na popobaya kuna watu hawakuamini ikabidi waende Zenji kuona Popobaya anavyoingilia watu!!Matokeo yake wakaliwa na wakashindwa kuwa mashuhuda wa ukweli!!Pole kwa kutokuamini suala hili!ila mie nimeamini
 
nikajua umeweka ushahidi kumbe unahisi tu, huo mzigo akiuachia kujibalance asianguke inakuwaje?

hapo kuweka mkono ni kutafuta balance kuuachia lazima aanguke ama atumie nguvu sana kujibalance

ungekuja na ushahidi mkubwa zaidi.
 
Hii game ni kama ile ya Mombasa, wale jamaa walijidai wameiba gari mganga akawapa uchizi. Kumbe CCTV camera zinawachora tu, wakaambulia aibu na mashitaka juu
Ilikuwaje mkuu hebu toa full story tupate kufahamu.
 
Bongo bhana, full filimee, sasa kama huo mzigo umeng'ang'ania kichwani anaushikiria wa nini? Hii ni 'script' inatengenezwa watu waingizwe mjini, bongo watu wamechoka na shida zetu lazima wamtafute huyo mganga ili 'awatengenezee' mali zao

31936591_1697110530381178_178449921144258560_n.jpg
Kama huamini unakaribishwa Mlandizi ufanywe wewe LIVE bila chenga. Nauli ya Mbezi kwenda Mlandizi ni 1600 tu. Kama mlume kweli njoo
 
Pengine anaushika ili awe na balance, unaweza kumvuta upande mmoja na kumzidishia maumivu
 
nikajua umeweka ushahidi kumbe unahisi tu, huo mzigo akiuachia kujibalance asianguke inakuwaje?

hapo kuweka mkono ni kutafuta balance kuuachia lazima aanguke ama atumie nguvu sana kujibalance

ungekuja na ushahidi mkubwa zaidi.
Mkuu hakuna wembe au kisu cha kupasua huo mfuko??
 
Back
Top Bottom