Ringo Edmund JF-Expert Member May 10, 2010 4,879 1,125 Mar 8, 2011 #2 Na ndiyo maana tunawaunga mkono.
M Mabulangati JF-Expert Member Dec 29, 2010 796 164 Mar 8, 2011 #3 Hiyo i aina gani ya kazi? Humu tuwekee nafasi za kazi siyo siasa, jukwaa la siasa lipo. Kila wakti mnawaza siasa, kutibu siasa, kula siasa, kunywa siasa, uhalisia siasa.
Hiyo i aina gani ya kazi? Humu tuwekee nafasi za kazi siyo siasa, jukwaa la siasa lipo. Kila wakti mnawaza siasa, kutibu siasa, kula siasa, kunywa siasa, uhalisia siasa.
N NURFUS Member Nov 27, 2009 31 1 Mar 12, 2011 #4 Inawezekana lkn bado walio wengi hawajui wanachofanya chadema
H heriedo Member Mar 11, 2011 45 7 Mar 14, 2011 #5 Ninyi mnaosema mnajua ebu tufafanulien tusiojua. Maana wengi wetu tumechanganyikiwa hatuelewi siasa.
Utingo JF-Expert Member Dec 15, 2009 10,270 8,033 Mar 14, 2011 #6 heriedo said: Ninyi mnaosema mnajua ebu tufafanulien tusiojua. Maana wengi wetu tumechanganyikiwa hatuelewi siasa. Click to expand... hujui nini, tuanze hapo kwanza
heriedo said: Ninyi mnaosema mnajua ebu tufafanulien tusiojua. Maana wengi wetu tumechanganyikiwa hatuelewi siasa. Click to expand... hujui nini, tuanze hapo kwanza
K Kyeli Lula Member Mar 7, 2011 65 6 Mar 14, 2011 #7 inawezekana hajui kama alipaswa atumie jukwaa la siasa muelimishe tu