Watanzania tulio wengi tunajua nini wanachokifanya chadema...

Hiyo i aina gani ya kazi? Humu tuwekee nafasi za kazi siyo siasa, jukwaa la siasa lipo.

Kila wakti mnawaza siasa, kutibu siasa, kula siasa, kunywa siasa, uhalisia siasa.
 
Ninyi mnaosema mnajua ebu tufafanulien tusiojua. Maana wengi wetu tumechanganyikiwa hatuelewi siasa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom