Lyamungo
Member
- Aug 17, 2011
- 91
- 7
sijui naota ma ni kweli, hivi hii nchi inapelekwa wapi jamani? hivi kweli kuna matumaini yoyote ya sasa na baadae?
ina maana tumeridhika na haya mateso?
wangekubali haya? kama hmna ulozi, mbona wanakuwa na kiburi na kujiamini kuwa hali ya juu wakati wanavurunda?
hii ndo inanifanya niulize hilo swali "who bewitched tanzanians?"
ina maana tumeridhika na haya mateso?
- uporaji wa rasilimali zetu bila ya woga
- wizi uliokithiri wa matrilioni unaofanywa na hao wanaojiita viongozi
- kutokuwajibika kwa viongozi
- rais kuhamia nchi za wenzetu kuwapigia magoti
- ukwepaji wa kodi wa hali ya juu
- serikali kukoromewa na wafanyabiashara wachache na kunywea
- unyanyasaji wa raia kwa kutumia vyombo vya dola
- mgao wa giza usiokuwa na sababu
wangekubali haya? kama hmna ulozi, mbona wanakuwa na kiburi na kujiamini kuwa hali ya juu wakati wanavurunda?
hii ndo inanifanya niulize hilo swali "who bewitched tanzanians?"