Watanzania ni nani ametuloga?

Lyamungo

Member
Aug 17, 2011
91
7
sijui naota ma ni kweli, hivi hii nchi inapelekwa wapi jamani? hivi kweli kuna matumaini yoyote ya sasa na baadae?
ina maana tumeridhika na haya mateso?

  • uporaji wa rasilimali zetu bila ya woga
  • wizi uliokithiri wa matrilioni unaofanywa na hao wanaojiita viongozi
  • kutokuwajibika kwa viongozi
  • rais kuhamia nchi za wenzetu kuwapigia magoti
  • ukwepaji wa kodi wa hali ya juu
  • serikali kukoromewa na wafanyabiashara wachache na kunywea
  • unyanyasaji wa raia kwa kutumia vyombo vya dola
  • mgao wa giza usiokuwa na sababu
hayo ni baadhi tu ya mambo ambayo nikitumia akili yangu ya darasa la sita ninaona si bure, ingekuwa nchi nyingine
wangekubali haya? kama hmna ulozi, mbona wanakuwa na kiburi na kujiamini kuwa hali ya juu wakati wanavurunda?

hii ndo inanifanya niulize hilo swali "who bewitched tanzanians?"
 
My fellow Tannzanians pleases lets pray for our beloved country
we ask our father in heaven to give us true loving leaders
who are devoted to lead our beautiful blessed country. Some
of the leaders are money hungry, devil worshippers who can even
sacrifice there families for money.
MOST OF THEM ARE GABBEGES THEY
THINK THE COUNTRY LEAD THE COUNTRY LIKE THERE OWN HOMES THEY SHOULD GROW UP.
 
Umerogwa wewe, kuna wengne haturogeki kabsaaaa..hzo rasiliman zinazoibiwa ni uzembe tu wala co kurogwa
 
Back
Top Bottom