unafikiri wana akili tunaviongozi wa ajabu hawajui hata sheria za nchi yetu,halafu wanajidai kutuletea maendeleoHabari wana JF,
Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.
Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo ktk kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.
Sasa kanuni za CCM nani anataka kulazimisha ziwe eti ndio za nchi?!
Hizo ni kanuni za Chama chenu, ndio hizo hizo mlitumia kumkata Lowassa huko mwaka 2015, pamoja na mambo mengine. Hizo ni za CCM, sio za nchi.
CCM ndio huwa mnatuhumiana mambo ya kampeni kabla ya muda.
Acheni kutuharibia nchi kwa kanuni zisizokuwepo.
Nashangaa watu wanashadadia tu.
Membe nae anajisemea eti katafuta wadhamini kimya kimya kuepuka kuvunja kanuni. Zipi?
Yani B. Membe bado anawaza kanuni za CCM kichwani mwake?
Kweli nimeamini ni ngumu sana mtu kusahau asili yake.
Membe, Magufuli na wenzako kajisomeeni tena, hiyo ni sheria yenu kwenye makabrasha ya CCM; haipo ktk sheria za nchi.
Full stop
Tofautisheni nchi na CCM.