Watakao maliza form six kupitia JKT 02 March 2013

Hii safi sana aisee.......vijana inabidi waende..........

Waanze bungeni....maana kuna vitoto vingi havijapitia jeshi
Pili wafuatie vijana wote ambao wako makazini na hawakupitia Jeshi
tatu wafuatie wale watakaomaliza Chuo na hawakupitia Jeshi

Nne na muhimu....Wapiga box wote ( kama akina Nyani Ngabu ) ambao hawakupitia jeshi....wakirudi bongo hakuna kutoka mpaka upitie JKT......nidhamu ya mitandaoni itarudi......

Keep it up General Muhuga
 
Last edited by a moderator:
Naitabiria tanzania itakuwa na m23,bokoharamu,alshabaaab,za kutosha sana miaka mitano ijayo!
 
mbona sioni Marian girls, Feza boys, St marys, Shaaban robert, Loyola, Mzizima etc zile wanazosoma watoto wa..

Nchi hii ina ubaguzi sijawai ona, watoto wa wakulima wanawapeleka kupiga kwata wakati watoto wao wanakula kuku home...

Nina uhakika hakutakuwa na mtoto wa marian, feza wala st kuch kuch atakayekanyaga JKT

Unataka watoto wa watu wakasote kulima misarabaya Masange JKT? au Bulombola? Chita?
 
acha nchi irudi kwenye nidhamu kidogo.
wastage of time and tax payer's money kuna nini kitakacholeta maendeleo ya maisha ya watu aka huduma za jamii bora na utawala wa sheria? sanasana watoto wa walala hoi ndo watajazana huko, ili kulima mashamba ya mafisadi. haya mtazalisha na mengine hii ni generation tofauti.
 
kitenuly isikupe shida, nchi ya chama hiki cha mafisadi mwisho wao umeshafika, acha tanzania ijengwe na watanzania siyo wachumia tumbo.

wastaege of time and tax payer's money kuna nini kitakacholeta maendeleo ya maisha ya watu aka huduma za jamii bora na utawala wa sheria? sanasana watoto wa walala hoi ndo watajazana huko, ili kulima mashamba ya mafisadi. haya mtazalishaji na mengine hii ni generation tofauti.
 
Last edited by a moderator:
vijana waoga, masharo baro, na masister poa ndio wanaogopa.
Hiyo itasaidia kuleta nidhamu na mahusiano.
 
mbona sioni Marian girls, Feza boys, St marys, Shaaban robert, Loyola, Mzizima etc zile wanazosoma watoto wa..

Nchi hii ina ubaguzi sijawai ona, watoto wa wakulima wanawapeleka kupiga kwata wakati watoto wao wanakula kuku home...

Nina uhakika hakutakuwa na mtoto wa marian, feza wala st kuch kuch atakayekanyaga JKT

Hao kuku wa kizungu si wanawezafia kwenye zoezi! kuua bila kukusudia
 
Shule zingine ambazo hazijatajwa inakuwaje...?


Umeambiwa kwa kuanzia.............wataanza vijana 5,000. Miaka inavyozidi kwenda shule zitaongezeka na hatimaye shule zote zitapeleka JKT vijana wao kwa lazima kama ilivyokua miaka ya nyuma.
 
Back
Top Bottom