Wataalam wa Tech naomba elimu yenu kuhusu Apps na websites

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,487
13,347
Wataalam wa tech naomba elimu yenu kuhusu maeneo hayo Apps na Websites.

Ukitaka kutengeneza apps unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani fupi?

Hivyo hivyo kwa website unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani?

Gharama za mafunzo zinaweza gharimu kiasi gani cha pesa na muda unaweza kuchukua kipindi gani?

Naomba pia na elimu yoyote kuhusu apps na websites.

Nakaribisha wadau wote.

**Naomba elimu ijikite zaidi kwenye practical sio theories zisizo na tija sana ninacho maanisha ni sawa na mtu anaye jifunza ufundi mtaani na mwengine chuo nafikiri mnajua utofauti wao upo wapi zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: 2v1
Kitu cha msingi ni kujua basics za programming kwa upande wote wa app na website, halafu ndio uanze kujifunza kuunda android app au ios.

Kwenye website kuna platform kama wordpress kwa ajili blog ambayo mtu yoyote anaweza kuanza au forums mara nyingi wanatumia xenforo na pia yoyote anaweza kuwa na forum bila kujua programming, kiujumla language maarufu upande wa web PHP, Javascript, html kwa ajili UI

Kuna programming languages nyingi, kwa android app zinazotumika zaidi ni kotlin na Java na iphone ni swift zamani objective-c

Pia zipo platforms zinazounda app za android na ios kwa pamoja kama react native na flutter.
Udemy na youtube kuna kozi nyingi zinazofundisha programming na mobile na website development
 
Asante.

Hii kozi ili kupata hata uelewa wa kawaida tu inaweza chukua muda mrefu sana au inategemeana zaidi na kichwa chako ?
 
Nadhani ni kichwa chako tu, yaani ni kwamba ukishelewa basics anza kuunda real life projects hapo ndio utajifunza mengi kadri unavyofanya
 
Na ndio sababu ya kutaka kujifunza kuna kitu nahitaji kufanya ila uelewa wa mambo ndio kikwazo ila nikielewa nafikiri nitaweza kufanikisha.
 
  • Thanks
Reactions: 2v1
Siku hizi Web na Apps development imerahisishwa na cross platform frameworks. Jifunze basic programming na vitu kama API, halafu jifunze Flutter.... you can make any app for majority ya plaforms
 
Kitu cha msingi ni kujua basics za programming kwa upande wote wa app na website, halafu ndio uanze kujifunza kuunda android app au ios.

Kwenye website kuna platform kama wordpress kwa ajili blog ambayo mtu yoyote anaweza kuanza au forums mara nyingi wanatumia xenforo na pia yoyote anaweza kuwa na forum bila kujua programming, kiujumla language maarufu upande wa web PHP, Javascript, html kwa ajili UI

Kuna programming languages nyingi, kwa android app zinazotumika zaidi ni kotlin na Java na iphone ni swift zamani objective-c

Pia zipo platforms zinazounda app za android na ios kwa pamoja kama react native na flutter.
Udemy na youtube kuna kozi nyingi zinazofundisha programming na mobile na website development
mkuu mimi nataka nikasomee IT, kozi gani ina wigo mpana unayoweza kujiajiri na kuajiriwa ba yenye demand kubwa?
Mkuu hizo platform za udemy unakuwa unasoma online na utaratib wake unakuwaje?
 
Siku hizi Web na Apps development imerahisishwa na cross platform frameworks. Jifunze basic programming na vitu kama API, halafu jifunze Flutter.... you can make any app for majority ya plaforms
Asante.

Acha nifutilie pale nitakapo kwama sitasita kurudi chukua elimu humu.
 
Kitu cha msingi ni kujua basics za programming kwa upande wote wa app na website, halafu ndio uanze kujifunza kuunda android app au ios.

Kwenye website kuna platform kama wordpress kwa ajili blog ambayo mtu yoyote anaweza kuanza au forums mara nyingi wanatumia xenforo na pia yoyote anaweza kuwa na forum bila kujua programming, kiujumla language maarufu upande wa web PHP, Javascript, html kwa ajili UI

Kuna programming languages nyingi, kwa android app zinazotumika zaidi ni kotlin na Java na iphone ni swift zamani objective-c

Pia zipo platforms zinazounda app za android na ios kwa pamoja kama react native na flutter.
Udemy na youtube kuna kozi nyingi zinazofundisha programming na mobile na website development
Mkuu nimepita kwenye huu uzi na madini uliyotoa kwa mdau yamenifanya nikutafute.

Mimi ni zero kabisa kwenye hays mambo lakini ninataka kutengeneza android app. Basics za program kwa mfano za kotlin ni zipi nizipitie ili niwe vizuri kusoms kotlin. Nategemea kusoma kupitia youtube na vitabu.
 
Variables
Arithmetic operations
Conditional statements
Loops
Data structure na algorithms
Hizi ndio basics mengine yatafuata
 
Back
Top Bottom