mkuu nijuavyo mimi kama ni ziara ya kitaifa au mwaliko wa rais kutoka nchi hiyo, ilibidi apokewe na rais wa nchi hiyo au yawezekana labda baadae atapokewa rasmi na rais wa nchi ikulu. hata Obama au viongozi wa nchi nyingi za wenzetu huwa rais hapokei pale airport bali huwepo waziri wa zamu. mara nyingi mapokezi rasmi hufanyika baadae ikulu. mkuu JK hajadharaulika usihofu.
Pia katika mikutano inayoshirikisha viongozi wengi,ni vigumu mkuu wa nchi kua uwanjani kupokea wageni wote.Hata hapa kwetu,mkutano uliopita wa marais 16 tuliona akina Mary Nagu walivyopangiwa kazi za kupokea marais,hili ni jambo la kawaida