Wataalam wa IT, naweza pata wapi cable ya phone to HDMI? laptop to HDMI?

KanzuMlegezo

Member
Aug 25, 2018
10
3
Wazima. Naombeni msaada. Mimi niko Morogoro ila pia nafika fika sana Dar es salaam.
Natafuta cable ya kuunganisha simu yangu kwenda Tv, yaani phone to Tv through hdmi.
Pia natafuta cable ya kuunganisha laptop to Tv, yaani laptop to Tv through hdmi. Ni maduka yapi eidha kwa hapa Morogoro au Dar naweza pata hii cable? Na je kuna uwezekano wa kupata cable moja tu ambayo itakuwa ni two in one? Yaani cable hiyo hiyo upande mmoja iwe ina hdmi na upande wa pili ina hdmi na port ya simu (smartphone).
Pia niandae kiasi gani?
Asanteni.
 
Dakika 5 mbele watakuja

Msigazi mkulu
 
Ziko nyingi tu ila usinunue maduka samsung samora moja ya kawaida 1.5 m wanauza elfu 40
Mimi nilinunu 9000/= 1.5 m clocktower duka jirani nabkituo vha mafuta phone hdmi to tv hdmi nilikuta 25000 ils inafanya kazi kuanzia samsung s6 .
Wacha wajevwengine wachangie
 
Yaani cable hiyo hiyo upande mmoja iwe ina hdmi na upande wa pili ina hdmi na port ya simu (smartphone).
Pia niandae kiasi gani?
Asanteni.[/QUOTE]

Mjomba sijaona pweza HDMI. Labda zipo
HDMI nyingi zinaharibika kwa kuchomoa chomoa.Bora utafute 2.
 
Wazima. Naombeni msaada. Mimi niko Morogoro ila pia nafika fika sana Dar es salaam.
Natafuta cable ya kuunganisha simu yangu kwenda Tv, yaani phone to Tv through hdmi.
Pia natafuta cable ya kuunganisha laptop to Tv, yaani laptop to Tv through hdmi. Ni maduka yapi eidha kwa hapa Morogoro au Dar naweza pata hii cable? Na je kuna uwezekano wa kupata cable moja tu ambayo itakuwa ni two in one? Yaani cable hiyo hiyo upande mmoja iwe ina hdmi na upande wa pili ina hdmi na port ya simu (smartphone).
Pia niandae kiasi gani?
Asanteni.
Nenda pale masika kwenye daraja kuna Duka limeandikwa kariakoo matelephone zipo za kutosha kabisa, jamaa ana vitu hata Kariakoo hawana au piga hii namba +255 679 000 957

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazima. Naombeni msaada. Mimi niko Morogoro ila pia nafika fika sana Dar es salaam.
Natafuta cable ya kuunganisha simu yangu kwenda Tv, yaani phone to Tv through hdmi.
Pia natafuta cable ya kuunganisha laptop to Tv, yaani laptop to Tv through hdmi. Ni maduka yapi eidha kwa hapa Morogoro au Dar naweza pata hii cable? Na je kuna uwezekano wa kupata cable moja tu ambayo itakuwa ni two in one? Yaani cable hiyo hiyo upande mmoja iwe ina hdmi na upande wa pili ina hdmi na port ya simu (smartphone).
Pia niandae kiasi gani?
Asanteni.
1. Ni simu gani? Maana kuna situation tatu hapa
-simu yako ina micro HDMI kama vile BB z10
-simu yako haina micro Hdmi ila ina Technology ya MHL
-simu yako haina vyote.

2. Hio laptop yako nayo ina HDMI ya kawaida?

Kama simu yako ina micro HDMI basi unaweza pata cable 1 yenye vichwa vya kupachika.
 
Ndiyo kama hii mkuu? Kwa BlackBerry z10?
$_3.JPG
$_3.JPG
 
1. Ni simu gani? Maana kuna situation tatu hapa
-simu yako ina micro HDMI kama vile BB z10
-simu yako haina micro Hdmi ila ina Technology ya MHL
-simu yako haina vyote.

2. Hio laptop yako nayo ina HDMI ya kawaida?

Kama simu yako ina micro HDMI basi unaweza pata cable 1 yenye vichwa vya kupachika.
Asante sana ndugu.
Simu yangu ni Samsung Galaxy, nadhani haina hdmi port ya moja kwa moja.

Hdmi ya laptop yangu ni kama hii. Sio mtaalam hivyo sijui ni ya kawaida au la.
20180827_154025.jpg

.
 
Yaani cable hiyo hiyo upande mmoja iwe ina hdmi na upande wa pili ina hdmi na port ya simu (smartphone).
Pia niandae kiasi gani?
Asanteni.

Mjomba sijaona pweza HDMI. Labda zipo
HDMI nyingi zinaharibika kwa kuchomoa chomoa.Bora utafute 2.[/QUOTE]
Sijakuelewa mkuu unaweza nielewesha zaidi?
 
Kwenye laptop ni HDMI ya kawaida.

Ni samsung Galaxy ipi?
Asante kwa majibu ya haraka. Ni samsung galaxy grand prime plus. Nategemea kupata Samsung nyingine ya toleo la mbele kidogo. Je itabidi nibadili tena hiyo cable au zinaingiliana?
Hii simu nayotumia sasa haina port ya hdmi. Ina ya kuchajia tu.
 
Back
Top Bottom