hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,829
ha ha ha ha!
Ushauri unafanyiwa kazi.
Ila wasukuma wa mjini wamejanjaruka.
Ngoja nifunge safari niwafate wa vijijini kabisa.
jasiri siku zote haachi asili
ha ha ha ha!
Ushauri unafanyiwa kazi.
Ila wasukuma wa mjini wamejanjaruka.
Ngoja nifunge safari niwafate wa vijijini kabisa.
Kashi nubhebhe uliwakukaya ise?Jamani Pearl oops nimekomea hapo ,nakukaribisha kwetu ujifunze lugha zaidi
kashi nubhebhe uliwakukaya ise?
Ukienda huko utanikuta, mie mjini nimekuja kutafuta mkate tu bibie
Niume sikio basi lini unaelekea huko?bora nikakute huko huko mabel wangu.
Mjini hapa ushindani utakuwa mkubwa. Lol!
Hamo kaletulemba akamayu kenaka?no nene nale tamanile ghete...ghashi o firstlady 1 ale wako kaya!
hamo kaletulemba akamayu kenaka?
Niume sikio basi lini unaelekea huko?
Vibaya hivyo bibie, unanong'onesa tu ili amani na utulivu upatikane sehemu ya pili.ngoja nijipange kwanza.
tehetehe wakimaliza kuongea:blabla::blabla: watakutafsiria.eace::becky:sasa ndio kunisaidia gani huko? Mbona mnaongea tu peke yenu hata tafsiri hamtoi? Nitauweza ushemeji kweli?
Kashi nubhebhe uliwakukaya ise?
Tutabhujaga giko!
Ubhuja giki, gashinagha nubhebhe ulimunhu?
Hamo kaletulemba akamayu kenaka?
Nimetengwa mwenzenu......:laugh::laugh::laugh:
nchelle obebe ole ng'wanike wa nguzu nho...tujage mu pm nakokuwhele mashikolo ga batale.....l.o.l
duhu...elewa :A S 20::A S 20:
Mmh hapo nimekinyaka, he he he!. Ila si mchezo unakitafuna kile chenyewe hasa!.nchelle obebe ole ng'wanike wa nguzu nho...tujage mu pm nakokuwhele mashikolo ga batale.....l.o.l
kweli umeelewa?