Wasukuma

Naomba mnisaidie maana za maneno haya:
1. Wamsha kinehe
2. Duhu
3. Sanzi

Ikibidi mniongezee mengine kwani nataka kuoa kwenu.

urefu wako na tabia zako ndo sifa kubwa. umwage hapa tuamue kama unasifa. duhu means uchi. nduhu means hapana. sanji, siyo sanzi. mzazi wa mke wa mwana au mume wa mwana.
 
urefu wako na tabia zako ndo sifa kubwa. umwage hapa tuamue kama unasifa. duhu means uchi. nduhu means hapana. sanji, siyo sanzi. mzazi wa mke wa mwana au mume wa mwana.

Nina urefu wa futi 6.1,na sifa nyingine ya ziada ni inchi 9,cm 4. Maji ya kunde mwili wa wastani wazungu wanasema Athletic body.
 
mwansha kinehe=umeamkaje
duhu=hapana
sanzi=wazazi wako ww na wazazi wa mkeo ndivyo wanavyoitana
bageshi=mmeoa mji mmoja ndivyo mtakavyoita
goko=shemeji
mae goko=mama mkwe
We si msukuma acha kuwadanganya wenzio ginehe mnya one
 
wasukuma napenda zaidi majina yao kama vile Ndebile, Pawa, Milembe ila sipati maana zake kabisa.
 
wasukuma napenda zaidi majina yao kama vile Ndebile, Pawa, Milembe ila sipati maana zake kabisa.

ndebile ni mtoto hajafikisha miezi tisa. milembe peace. pawa sijui, ila ni lazima itakuwa power hiyo uijuayo
 
Hujawa wazi kutueleza mchumbako anatokea sehemu gani ya usukumani, mf. shy wapo wanyantuzu hawa ni wasukuma wanaosikilizana na wale wa sehemu za mwanza ila matamshi ya maneno (phonological)yanaweza kutofautiana kwa mfano, m'ho inaweza kumaanisha kukubaliana, pia unapokula usipende kuongea
 
Anatokea Shinyanga ila sikumbuki jina la kijiji na ni huko Bukombe. Nimeanza kuelewa baadhi ya maneno hususan salamu. Inaonesha kuwa Hashycool atanisaidia sana.
 
mwansha kinehe=umeamkaje
duhu=hapana
sanzi=wazazi wako ww na wazazi wa mkeo ndivyo wanavyoitana
bageshi=mmeoa mji mmoja ndivyo mtakavyoita
goko=shemeji
mae goko=mama mkwe
hapo nilipopigia umepotosha sio kweli: duhu maana yake uchi yaani mtu yuko uchi, neno halisi ni n'duhuu=hakuna au hapana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom