hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,829
Ngoja namimi nijifunze maana namind sana swaga za wasukuma.
midude inayoongoza kwa kupenda dunia nzima! l.o.l
Ngoja namimi nijifunze maana namind sana swaga za wasukuma.
Wabheja nkwela, ama milemo kinehe?tulehoil nkwela wane!
Ng'winga = Mke wa mwana (mka mwana)
Nkwilima = Mme wa mwana
Kama uko single na mimi niko single!Ngoja namimi nijifunze maana namind sana swaga za wasukuma.
midude inayoongoza kwa kupenda dunia nzima! l.o.l
Onene nkwela nali wa Mbogwe (ikale yali Bukombe) Shinyanga, alubhebhe hale?ntaalmu ole wa hale obebe
Kama uko single na mimi niko single!
Wabheja nkwela, ama milemo kinehe?
Onene nkwela nali wa Mbogwe (ikale yali Bukombe) Shinyanga, alubhebhe hale?
Haswakumbe na wewe msukuma.
Tulehoyi tulikoya namamilemo ga bhanhumagu ghete!
Haswa
Nakushauri upate msukuma mmoja utajifunza zaidi na utafaidi kuwa nae, believe me!nawapenda sana nyie wasukuma.
Nikianza kuwafikiria wanaume nawafikiria nyie. Lol!
nawapenda sana nyie wasukuma.
Nikianza kuwafikiria wanaume nawafikiria nyie. Lol!
teheteheteee leka koja kole nnho.....nalehoil
mwansha kinehe=umeamkaje
duhu=hapana
sanzi=wazazi wako ww na wazazi wa mkeo ndivyo wanavyoitana
bageshi=mmeoa mji mmoja ndivyo mtakavyoita
goko=shemeji
mae goko=mama mkwe
Nakushauri upate msukuma mmoja utajifunza zaidi na utafaidi kuwa nae, believe me!
Kumbuka fimbO ya mbali haiui nyoka, mie nipo karibu, LOL!
nitafsirie bwana.
Ukienda huko utanikuta, mie mjini nimekuja kutafuta mkate tu bibieha ha ha ha!
Ushauri unafanyiwa kazi.
Ila wasukuma wa mjini wamejanjaruka.
Ngoja nifunge safari niwafate wa vijijini kabisa.