Wassira ndani ya DK 45 ITV

Naona anaizungumzia sana CDM kwamba nayo ina makundi, eti Dr. Slaa, Mbowe hawaivi na Zitto.

Anaiponda kampeni ya Vua Gandwa, Vaa Gwandwa kwamba tafsiri ya gamba bado ni tata kwa wananchi!!!!
 
Ameongelea kuhusu makundi ndani ya Chama kwamba hata CDM yapo..akatoa mfano wa Zito Shibuda Vs Mbowe na Slaa,,
 
amechanganyikiwa hana sera, bila kutaja chadema! Ana unaupungufu wa akili nadhani yuko fainali. Kwa kweli ni mzigo ndo maana chama kinawafia kama waziri wenyewe ndo hawa!
 
Mzee ana sumu huyu utafikiri black mamba..yaani kama siyo mtu makini unaweza ukamwamini..kumbe hamna kitu.

Huyu jamaa ana sumu mbaya sana na kama ni mtu wako wa karibu anaweza kuiteka akili yako kwa jinsi anajua kufix mambo!!!!

Anakanusha kuwa hakuzomewa, eti wale walikuwa walevi!!!
 
Huyu mzee anachemka mbaya, mpaka anaboa, kila sentensi CDM, kweli wanakosa usingizi na M4C!
 
Duh huyu mzee kachanganyikiwa kweli yaani anaongea nini hata sijui, hajibu swali la msingi naona anakwepa maswali ya msingi
 
Asilimia 60 and above anaongelea CDM... Amesahau hata kuongelea CCM yetu.
 
Hahahaaaa anakubali kimtimndo kuwa amezomewa japo na watu wachache na mwandishi nae yuko vizuri sana
 
Hapa niko uso kwa uso na sura halisi ya CCM. NIMEIKATAA!
 
Ze jamaa hajui anachosema,anajua tuu nani ni tishio kwake.funny ni kwamba CCM ina junks km hizu nyingi sana.
 
amekubali kuzomewa na kusema kuwa haiwezi kuwa hoja, kwahio alizomewa full stop
 
Kama ITV inaruhusu viongozi wa serikali kuponda upinzani,basi nao wapewe nafasi kujibu mapigo
 
hahahaaaaa wasira bwana, anasema kulikua na watu elfu sita au elfu saba, amehutubia kuanzia saa tisa hadi saa 12 na amejibu maswali zaidi ya 10. . . . hahahaaaa huyu bwana!
 
anasema hajafanya uamuzi wa kugombea tena ila mi nadhani anataka apime upepo
 
Anajigamba kwamba kama uchaguzi ungefanyika leo ana hakika kuwa angeshinda.

Anaruka kimanga kulizungumzia suala la Maige kwa kuwa haaongea na Maige.
 
mi nashangaa huyu mzee wa gombe.. Usoni mweusi tiii ila mikono ina rangi tofauti. Ebu angalia vema wakuu
 
Back
Top Bottom