Wasomi wa Tanzania Tuoneshe Masuluhisho na sio Majigambo.......!!!!!

King Mutesa

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
227
140
..........Katika wiki ya Kwanza hapa Chuo kikuu Cha Dar Es Salaam kama wanavyoita kwa lugha ya Kiingereza "ORIENTATION WEEK" Wakufunzi mbalimbali walipewa muda wa kutoa nasaha mbalimbali kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2012/2013. ila cha kushanganza wakufunzi hawa walionesha majigambo kuhusu chuo chao na kuponda vyuo vingine. kuna mkufunzi mmoja alisema hivi namnukuu:-
"...............Mimi ni bora kuniachisha kazi kuliko kunipeleka kusomesha katika vyuo kama vile UDOM, SAUT ama MZUMBE................."

Mimi nilitegemea mkufunzi huyu aoneshe njia za kufanya ili vyuo vingine hapa Tanzania viweze kufikiA HADHI YA CHUO KIKUU CHA mLIMANI..

Kama nitakuwa nimekurupuka wanisamehe hawa WAKUFUNZI...............!!!!!
 
Hayo ndio anayoweza kuyasema akiwa kama mkufunzi. Amekosa analytical mind.
Anawakilisha zao la elimu iliyopatikana kwa kukaririkariri na kusomea mitihani.
He is educated but not intellectual.
Fuatilia lectures zake utagundua, "He talks too much and saying a little".

HIZI SIO ZAMA ZA KUTAMBIA CHUO ULICHOSOMA, NI ZAMA ZA KUONYESHA JINSI YA KUTUMIA UJUZI NA MAARIFA ULIYOPATA KUTOKANA NA ELIMU ULIYONAYO KATIKA KUTATUA MATATIZO YA MAISHA HALISI.
 
Back
Top Bottom