Wasiwasi Mwabulambo toa ukatuni wako PB

kama uongozi wa Klauds upo makini umpe Bonge Kipindi... ha-boi kabisa huyu jamaa... Wasiwasi hapana labda apewe kazi ya KUFAGIA YAAAAAANI ANA-BOA STIFF...
 
Labda ndio maana wazazi wake walimbatiza jina la Wasiwasi (WHAT A NAME).... I hope sio mtoto wa Marehemu Wilson Mwabulambo....huyu alikuwa chuma na ni mmoja wa wanafunzi wa UDSM waliogoma mika ile 1960s akaambulia mboko za Mwalimu JKN

Ni mtoto wa marehemu Wilfred Mwabulambo, hope ulikuwa na maana hiyo ulivyosema Wilson Mwabulambo. Officially ndio inafahamika hivyo, labda ukweli anajua zaidi mama yake. Na ndio mtoto pekee wa kiume wa kile chuma (Wilfred Mwabulambo) kwa mujibu wa watu wa karibu kabisa na huyo jamaa
 
du!!hapo umemaliza kila kitu
vipi kuhusu wale wa jioni na kibonde wao!!kwa kweli sioni kwa nini wako pale,umbeya wanaopiga pale hauna mashiko!

mi nna bahati mbaya na Kibonde kwan mara nying namsikiliza kwa bahati mbaya kwenye daladala.
 
Duh! Kibonde ndo kibonde haswa!kwa undumila kuwili wake sasa hata meno yanakwisha mdomoni.......ukichanganya na Malu.....ka......ga,ananekana ana umri wa RTD.
 
wasiwasi mwabulambo si mtangazaji mzuri ila mshkaji anajua kusimamia vipindi na pia anajua kuchambua ngoma hususani masweet reggae...AZAM TV wameliona hili na tayari kijana keshasajiliwa na Sheikh Said
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom