Wasiwasi Mwabulambo toa ukatuni wako PB

Jaman, ckilizeni Magic Fm asubuh, kipindi ni Morning Magic, watu wanaongea vitu sensitive issue zinaelezewa kuanzia chimbuko lake, nafas ya wackilizaj kupga simu,kutoa madukuduku na maon ipo sio hao kila baada ya dk2 tangazo! Na kucheka plus kukaripiana. Rose1980 nakukarbsha 12 mpk 3 asubuh, m nilikua msikilizaj mzur wa powerbreakfast lakin nowdayz ni upuuz mtupu.
 
Hehehehe Clouds mimi sijaona kipindi cha Maana kabisa cuz hata miziki huchagua ya kupiga, wapo tayari wapige ya nje na si ya wasanii wa ndani ya nchi
 
Jaman, ckilizeni Magic Fm asubuh, kipindi ni Power Magic, watu wanaongea vitu sensitive sio hao kila baada ya dk2 tangazo! Rose1980 nakukarbsha,m nilikua msikilizaj mzur wa powerbreakfast lakin nowdayz ni upuuz mtupu.

Hiyo Magic haipatikani Ifakara wewe, au unafikiri kila mtu anaishi kwa Mtogole?
 
Baada ya hii thread huyo Wasiwasi amepoa kama barafu nadhani na lenyewe linafuatilia. Halafu nasikia jamaa ni chapombe kinomanoma yaani kuna siku ilikuwa birthday ya Diva jamaa aliingia studio yuko mbwii. Basi akawa analazimisha denda kwa Zamaradi Mketema, walinzi wakaingia studio na kumtoa nje.
 
Jaman, ckilizeni Magic Fm asubuh, kipindi ni Morning Magic, watu wanaongea vitu sensitive issue zinaelezewa kuanzia chimbuko lake, nafas ya wackilizaj kupga simu,kutoa madukuduku na maon ipo sio hao kila baada ya dk2 tangazo! Na kucheka plus kukaripiana. Rose1980 nakukarbsha 12 mpk 3 asubuh, m nilikua msikilizaj mzur wa powerbreakfast lakin nowdayz ni upuuz mtupu.
Hiyo magic inashika kwenye frequwncy gani? Radio zetu za magari zakichina, hazishiki fm frequency zaidi ya 100.
 
Baada ya hii thread huyo Wasiwasi amepoa kama barafu nadhani na lenyewe linafuatilia. Halafu nasikia jamaa ni chapombe kinomanoma yaani kuna siku ilikuwa birthday ya Diva jamaa aliingia studio yuko mbwii. Basi akawa analazimisha denda kwa Zamaradi Mketema, walinzi wakaingia studio na kumtoa nje.

mhh mbona izi za chumban sana?

unafanya apo?
 
Diva jamaa aliingia studio yuko mbwii. Basi akawa analazimisha denda kwa Zamaradi Mketema, walinzi wakaingia studio na kumtoa nje.
....ulihadithiwa au ulikuwepo?...studuio za clouds ynazijua zilivyo?
 
Baada ya hii thread huyo Wasiwasi amepoa kama barafu nadhani na lenyewe linafuatilia. Halafu nasikia jamaa ni chapombe kinomanoma yaani kuna siku ilikuwa birthday ya Diva jamaa aliingia studio yuko mbwii. Basi akawa analazimisha denda kwa Zamaradi Mketema, walinzi wakaingia studio na kumtoa nje.

Acha umbea mtoto wa kiume, hivi ccm mkoje?? haya tuambie umesikia wapi??
kumbuka una miaka 33 unazeeka sasa!! hovyo kabisa! kwani akinywa pombe dhambi?? mpsxxyy
 
Hehehehe Clouds mimi sijaona kipindi cha Maana kabisa cuz hata miziki huchagua ya kupiga, wapo tayari wapige ya nje na si ya wasanii wa ndani ya nchi

mhh apana bwana
mbona kuna vpnd vizuri tu

km wewe mwanamke na unapenda swaga za kihome home..(kisociology zaidi) msikilize dina
sjui km anajua kipindi chake kimebase kwenye ilo somo..cz sjui kama kasoma sociology lakin km anauwezo na ana sifa za kwenda chuo dina anafaa kusoma coz io ya sociology...anaongea vtu vidogo dogo lakin vinamata sana kwenye jamii ingawa km weew ni high seer unaweza kusema ahh anaongea vtu simpo tu.. lakn vina mashiko related to kipindi na wadau husika aliowalenga

ukitaka mziki na nostress pgm bas sikiliza XXL cz ni mziki tu na mambo ingine km ayo..na kimekaa kivijana vijana so usije ukawa una miaka 48 yako et unasiikiliza xxl m sure utaboreka..kimekaa kiface buku ivi so km wewe pia ni dot com bas xxl mzuxxxxx mwing

km wewe ni wale mabwana chonga chonga ili mrad umeonekana umeongea na wala aupend fact na umapenda porojo bas jahaz linakufdaa

km unapenda maumbea na matukio basi saa moja mpk 3 usiku inakufaa

kmw apenda mpira ,francis cheka kamtia kikwenzi demu wake basi sikiliza michezo xtra

km we mzinzi na mpuuzi wa kutosha msikilize diva...ahh yaan anaongea km ana....shame on her.anajidhadhalisha ye anazan ndo swaga kumbe mhh...sjui ajakua sjui ushamba

km we mlokole msikilize nan sjui yule asubui jumapili anamambo mazuri ya kiroho
km unapenda habar za kimataifa bas jumamos asubui 12 mpk 3 ivi mpango kamili..yule kaka sjui kasoma diplomasia au international relation.....anajua ku analyze issues good for him...HE SEEMS LIKE KAENDA SHULE..wengne

na km wewe ni mtoto wa ilala/kko basi gea sa 12 jumapili atakusuuua..mataaarabu..maumbea umbea madila dila maushungi
makila kitu pwan utayakuta apo

MINAMPENDA YULE WA JUMAMOSI ASUBUI BASI...na baba joniiii kduchuuuuuuuuuu na dina saaaaaaaaaaaaaaaaana na hekaheka kdg

babra akaoge na kamusi a kiswahili.
 
tangu gerald hando aondoke clouds huyu jamaa wasiwasi amechukua nafasi yake kwenye power breakfast. Anachoendeleza ni ukatuni na mizaha tu yaani hata haelewi nini cha kufanya. Linachekaacheka tu na kumfanya barbara awe na kazi ya ziada. Hivi hawa watangazaji clouds inawaokota wapi?

fujo hizo msiingilie mipango ya watu kazini fanya kazi yako kubofya humu jf basi njia ya kwenda toi kwako isioteshe nyasi
 
mhh apana bwana
mbona kuna vpnd vizuri tu

km wewe mwanamke na unapenda swaga za kihome home..(kisociology zaidi) msikilize dina
sjui km anajua kipindi chake kimebase kwenye ilo somo..cz sjui kama kasoma sociology lakin km anauwezo na ana sifa za kwenda chuo dina anafaa kusoma coz io ya sociology...anaongea vtu vidogo dogo lakin vinamata sana kwenye jamii ingawa km weew ni high seer unaweza kusema ahh anaongea vtu simpo tu.. lakn vina mashiko related to kipindi na wadau husika aliowalenga

ukitaka mziki na nostress pgm bas sikiliza XXL cz ni mziki tu na mambo ingine km ayo..na kimekaa kivijana vijana so usije ukawa una miaka 48 yako et unasiikiliza xxl m sure utaboreka..kimekaa kiface buku ivi so km wewe pia ni dot com bas xxl mzuxxxxx mwing

km wewe ni wale mabwana chonga chonga ili mrad umeonekana umeongea na wala aupend fact na umapenda porojo bas jahaz linakufdaa

km unapenda maumbea na matukio basi saa moja mpk 3 usiku inakufaa

kmw apenda mpira ,francis cheka kamtia kikwenzi demu wake basi sikiliza michezo xtra

km we mzinzi na mpuuzi wa kutosha msikilize diva...ahh yaan anaongea km ana....shame on her.anajidhadhalisha ye anazan ndo swaga kumbe mhh...sjui ajakua sjui ushamba

km we mlokole msikilize nan sjui yule asubui jumapili anamambo mazuri ya kiroho
km unapenda habar za kimataifa bas jumamos asubui 12 mpk 3 ivi mpango kamili..yule kaka sjui kasoma diplomasia au international relation.....anajua ku analyze issues good for him...HE SEEMS LIKE KAENDA SHULE..wengne

na km wewe ni mtoto wa ilala/kko basi gea sa 12 jumapili atakusuuua..mataaarabu..maumbea umbea madila dila maushungi
makila kitu pwan utayakuta apo

MINAMPENDA YULE WA JUMAMOSI ASUBUI BASI...na baba joniiii kduchuuuuuuuuuu na dina saaaaaaaaaaaaaaaaana na hekaheka kdg

babra akaoge na kamusi a kiswahili.

Sociology ipi anayoongea huyo kilaza? Ya Herbert Spencer, Emille Durkheim? Ana kichwa hicho?
 
kila kitu kina kupanda na kushuka ...hata vipindi vya radio/Tv huwa kuna wakati vinakuwa hooot, then vinadorora ...then waandaaji wakiwa wabunifu wanarudi kwenye charts .
 
Tangu Gerald Hando aondoke Clouds huyu jamaa Wasiwasi amechukua nafasi yake kwenye Power Breakfast. Anachoendeleza ni ukatuni na mizaha tu yaani hata haelewi nini cha kufanya. Linachekaacheka tu na kumfanya Barbara awe na kazi ya ziada. Hivi hawa watangazaji Clouds inawaokota wapi?
ana tofauti gani na viongozi wako wa chama cha masaburi?
 
Nimeshaacha siku nyingi sana kuisikiliza hiyo radio. Wana utoto mwingi sana. Kuna issue ambazo ni serious lakini wao wanaziongelea kimzaha mzaha.

wawapeleke watangazaji wao shule, masihara/utoto/hisia hisia/ushabiki

KP aliwahi sema utangazaji ni kazi ngumu kwa maana wasikilizaji waweza kuwa na uelewa mkubwa kuliko watangazaji
 
Sociology ipi anayoongea huyo kilaza? Ya Herbert Spencer, Emille Durkheim? Ana kichwa hicho?

anafaa wewe
anaonekana ana mwamko flani ivi
yaan km kipofu vile anapapasa dhahabu sasa ni wewe mwenye macho wa kumwonyesha au kumwambia go for t..

kana kichwa ..sjui lakin matokeo yake ...I NIMEONGEA VILE MIMI NAONA ......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom