Kwani uchaguzi Mdogo S'wanga lini?
Mkuu huko kujipitishapitisha hakuongezi chochote kama huna hoja za msingi kwa wananchi,na zaidi ni kupoteza muda, pesa au kuongeza kuchukiwa na wananchi kama wamekuchoka.Naöna kwa kiasi fulani uko sahihi, cdm kwa kiasi fulani wameanza kuonyesha dalili ya kuridhika chukulia mfano jimbo la igunga, ccm wameenda mara nyingi baada ya mbunge wao kuvuliwa ubunge, lakini cdm wametulia tu, haya sumbawanga nako akina nape wameenda, cdm mmh! Angalia hata hicho kinachoitwa m4c, mikoa kama kigoma, rukwa, tanga, hakuna! Cdm inabidi wafanye kazi usiku na mchana kwa sababu wao si chama tawala ni chama kinachodhamiria kushika dola, kwa hiyo wasijifananishe na ccm!
Kwa kawaida kisheria uchaguzi unatakiwa kurudiwa ndani ya siku 60 toka siku imetangazwa jimbo kuwa wazi na tume ya uchaguzi.Uchaguzi wenyewe lini sasa...??
Naöna kwa kiasi fulani uko sahihi, CDM kwa kiasi fulani wameanza kuonyesha dalili ya kuridhika chukulia mfano jimbo la igunga, CCM wameenda mara nyingi baada ya mbunge wao kuvuliwa ubunge, lakini cdm wametulia tu, haya sumbawanga nako akina nape wameenda, CDM mmh!
Angalia hata hicho kinachoitwa M4C, mikoa kama kigoma, rukwa, tanga, hakuna! CDM inabidi wafanye kazi usiku na mchana kwa sababu wao si chama tawala ni chama kinachodhamiria kushika dola, kwa hiyo wasijifananishe na CCM!
Bado rufaa haijasikilizwa, kwa hiyo tarehe ya uchaguzi bado.
Wadau asalam aleykum?
Mi kama mpenda demokrasia hapa Tanzania kwa sasa nikiwa Sumbawanga, naona kuna mbinu chafu anaziandaa Aeshi Khalfan Hilary i.e CCM kuweza kutetea kiti chao.
Nasema hivi kwa sababu naonana na Aeshi mara nyingi na THE WAY ALIVYO 'SOCIAL' kwa watu na jinsi vijana wanavyomkubali compared to Yamsebo Norbet wa CHADEMA. Mi nilijua wengi hawamtaki kutokana na kesi iliyomvua ubunge. DAH! Kwenye uchaguzi wa NEC alipita kwa kishindo kikubwa.
SO CHADEMA KAZI KWETU!
Ukipokea kila ushauri, utakuwa mjinga!! Huu ushauri una uzuri gani? Mtu kamwona jamaa anacheka na watu kwenye kikao cha kahawa anampa ushindi kwenye jimbo!! Ubunge ungekuwa hivyo, me ningeshinda bila kampeni!
Kwani Mkuu, CDM Nao walipiga kura kwenye hiyo NEC????Wadau asalam aleykum?
Mi kama mpenda demokrasia hapa Tanzania kwa sasa nikiwa Sumbawanga, naona kuna mbinu chafu anaziandaa Aeshi Khalfan Hilary i.e CCM kuweza kutetea kiti chao.
Nasema hivi kwa sababu naonana na Aeshi mara nyingi na THE WAY ALIVYO 'SOCIAL' kwa watu na jinsi vijana wanavyomkubali compared to Yamsebo Norbet wa CHADEMA. Mi nilijua wengi hawamtaki kutokana na kesi iliyomvua ubunge. DAH! Kwenye uchaguzi wa NEC alipita kwa kishindo kikubwa.
SO CHADEMA KAZI KWETU!
Hapa Sumbawanga mjini hata kama CCM watamsimamisha Pinda na CHADEMA wakamsimamisha mtu yoyote yule(hata kichaa anaye okota makopo hapa mjini) bado nina uhakika Chadema itashinda tu.
Sababu kuu ni kwamba CCM haipendwi kabisa kabisa lakini pia kitendo cha kuchakachua matokeo mwaka 2010 kiliwaudhi watu wengi sana na mwisho kauli na vitendo vya kimaudhi(kiutu na kiimani)alivyofanya Aeshi mwaka 2010.
Na kwa taarifa yako CCM kwa sasa wanaumiza kichwa sana juu ya nani wa kumsimamisha kugombea kama uchaguzi utatangazwa kurudiwa kwani huyo Aeshi anatafsiliwa vibaya sana na viongozi wa juu wa chama kutokana na matukio fulani fulani ambayo yamekipa chama wakati mgumu sana.
Halafu wewe mleta mada ni mzushi sana, huyu Aishe japokuwa ni kijana na mtu mwenye pesa lakini hana tabia kabisa ya kujichanganya na watu wa kawaida zaidi sana anaonekana bar na night club akikamua pombe na malaya tu, kama kuna mtu anabisha aje hapa Sumbawanga mjini ajionee mwenyewe.