Shalloom, wanaJf!Ile kesi ya kutenguliwakwa ubunge wa bw Aeshi ‘CCM" wa Sumbawanga mjini, rufaa yake imepangwa kusikilizwa na mahakama ya rufaa Dar es Saam tar 12 Februari siku ya Jumanne.
Mkata rufaa ni bw Aeshi Hilary aliyevuliwa Ubunge na mahakama kuu tawi la Sumbawanga Mwezi April 2012 kwa kukutwa na makosa ya uvunjifu wa sheria ya uchaguzi ikiwepo ugubikwaji wa matendo rushwa, mjibu rufaa ni bw Nobert Yamsebo aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Sumbawanga mjini kwa tiketi ya CHADEMA.
Bw Nobert Yamsebo anatetewa na Mr Mkumbo wakili wamahakama kuu na pia kwa mjibu wa bw Nobert Yamsebo kaongezwa Mr Method Kimomogoro wakili mwanadamizi mahakama kuu, bwAeshi anatetewa na Nassoro Advocates na mwanasheria mkuuKwa heshima kuu nakuombeni wapendwa wanademokrasia nawapenda maendeleo wa jimbo la Sumbawanga mjini wote waliopo Dar es Salaam, Sumbawanga na kwingineko kokote kuhudhuria siku hiyo.
Nawasilisha.