Wasipokaa vizuri CHADEMA, jimbo la Sumbawanga mjini wanaweza kulipoteza!

Mfalme Daud

Senior Member
Feb 3, 2012
166
109
Wadau asalam aleykum?

Mi kama mpenda demokrasia hapa Tanzania kwa sasa nikiwa Sumbawanga, naona kuna mbinu chafu anaziandaa Aeshi Khalfan Hilary i.e CCM kuweza kutetea kiti chao.

Nasema hivi kwa sababu naonana na Aeshi mara nyingi na THE WAY ALIVYO 'SOCIAL' kwa watu na jinsi vijana wanavyomkubali compared to Yamsebo Norbet wa CHADEMA. Mi nilijua wengi hawamtaki kutokana na kesi iliyomvua ubunge. DAH! Kwenye uchaguzi wa NEC alipita kwa kishindo kikubwa.

SO CHADEMA KAZI KWETU!
 
Nadhani ameanza kukaa vjiweni kutafuta popularity,aangalie asipewe cha arusha alafu amombaswe.
 
Wadau asalam aleykum?

Mi kama mpenda demokrasia hapa Tanzania kwa sasa nikiwa Sumbawanga, naona kuna mbinu chafu anaziandaa Aeshi Khalfan Hilary i.e CCM kuweza kutetea kiti chao.

Nasema hivi kwa sababu naonana na Aeshi mara nyingi na THE WAY ALIVYO 'SOCIAL' kwa watu na jinsi vijana wanavyomkubali compared to Yamsebo Norbet wa CHADEMA. Mi nilijua wengi hawamtaki kutokana na kesi iliyomvua ubunge. DAH! Kwenye uchaguzi wa NEC alipita kwa kishindo kikubwa.

SO CHADEMA KAZI KWETU!

wanafunzi wa kata utawajua tu, kaka siku nyingine ukitaka kujenga hoja lazima utumie vitu viwili muhimu utumie
LOGIC na REASONING Umetumia vigezo viwili "alivyo scial kwa watu" hapo hakuna reasoning wala logic kwani mtu jimbo lina watu zaidi elfu 20 sasa unapomuona yuko kwenye kijiwe anaongea na watu wawili watatu hiyo aionyeshi aina yoyote ya kuwa tishio.

"mi nilijuwa wengi hawamtaki kutokana na kesi iliyomvua ubunge" unaonekana kujibu swali lako wewe mwenyewe ulilojiuliza hapo juu, I rest my case.
 
Nasema hivi kwa sababu naonana na Aeshi mara nyingi na THE WAY ALIVYO 'SOCIAL' kwa watu na jinsi vijana wanavyomkubali compared to Yamsebo Norbet wa CHADEMA.

Sasa kama yupo social na vijana wanamkubali ilikuwaje 2010 kwa kushirikiana na Msimamizi wa Uchaguzi alipindisha utaratibu na kuchakachua matokeo? Hao vijana wanafuata noti zake tu. Kumbuka "Kula CCM, Kulala CHADEMA" - Prudence Karugendo (2011).

TUMBIRI (PhD, University of HULL -UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Sasa walipoteze halikuwa lao?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wadau asalam aleykum?

Mi kama mpenda demokrasia hapa Tanzania kwa sasa nikiwa Sumbawanga,
naona kuna mbinu chafu anaziandaa Aeshi Khalfan Hilary i.e CCM kuweza
kutetea kiti chao.

Nasema hivi kwa sababu naonana na Aeshi mara nyingi na THE WAY ALIVYO
'SOCIAL' kwa watu na jinsi vijana wanavyomkubali compared to Yamsebo
Norbet wa CHADEMA. Mi nilijua wengi hawamtaki kutokana na kesi iliyomvua
ubunge. DAH! Kwenye uchaguzi wa NEC alipita kwa kishindo kikubwa.

SO CHADEMA KAZI KWETU!

ndugu usijidanganye sumbawanga chichiem haina chao hata kwa nn
 
Mwenye hekima huambiwa neno na kulishika, hii tabia ya kubishana kwa kila jambo kuna mtu atajisikia vibaya baadae. Hivi ushauri huu una ubaya gani?
 
Mwenye hekima huambiwa neno na kulishika, hii tabia ya kubishana kwa kila jambo kuna mtu atajisikia vibaya baadae. Hivi ushauri huu una ubaya gani?

Ukipokea kila ushauri, utakuwa mjinga!! Huu ushauri una uzuri gani? Mtu kamwona jamaa anacheka na watu kwenye kikao cha kahawa anampa ushindi kwenye jimbo!! Ubunge ungekuwa hivyo, me ningeshinda bila kampeni!
 
Hapa Sumbawanga mjini hata kama CCM watamsimamisha Pinda na CHADEMA wakamsimamisha mtu yoyote yule(hata kichaa anaye okota makopo hapa mjini) bado nina uhakika Chadema itashinda tu.

Sababu kuu ni kwamba CCM haipendwi kabisa kabisa lakini pia kitendo cha kuchakachua matokeo mwaka 2010 kiliwaudhi watu wengi sana na mwisho kauli na vitendo vya kimaudhi(kiutu na kiimani)alivyofanya Aeshi mwaka 2010.

Na kwa taarifa yako CCM kwa sasa wanaumiza kichwa sana juu ya nani wa kumsimamisha kugombea kama uchaguzi utatangazwa kurudiwa kwani huyo Aeshi anatafsiliwa vibaya sana na viongozi wa juu wa chama kutokana na matukio fulani fulani ambayo yamekipa chama wakati mgumu sana.

Halafu wewe mleta mada ni mzushi sana, huyu Aishe japokuwa ni kijana na mtu mwenye pesa lakini hana tabia kabisa ya kujichanganya na watu wa kawaida zaidi sana anaonekana bar na night club akikamua pombe na malaya tu, kama kuna mtu anabisha aje hapa Sumbawanga mjini ajionee mwenyewe.
 
Mleta mada ni mzushi sana, unaposema alishinda uchaguzi wa NEC Ccm kwa kishindo unamaanisha nini?

Embu tuambie alikuwa anagombea kupitia ngazi ipi, washindani wake ni nani, alipata asilimia ngapi ya kura?

Embu jibu hayo ilitukuumbue vizuri.
 
Kushinda uchaguzi kwenye chama ambacho Kina Lowasa na Chenge wanashinda kilaini sana siyo Kigezo kabisa maana Chama chenyewe kiko mahututi kabisa ........ tuache wafu wazikane wanamabadiliko tusonge mbele ..... M4C Daima
 
Nadhani mleta mada ameleta hii kupima tu upepo hapa jamvini. Nilipita huko miezi michache iliyopita na hakuna aliyekuwa anaongea mema juu ya huyo Aeshi.
 
Mleta mada ni mzushi sana, unaposema alishinda uchaguzi wa NEC Ccm kwa kishindo unamaanisha nini?

Embu tuambie alikuwa anagombea kupitia ngazi ipi, washindani wake ni nani, alipata asilimia ngapi ya kura?

Embu jibu hayo ilitukuumbue vizuri.

Kwanza NEC inawahusu CCM peke yao, kwani wezi wakimchagua mwizi mwenzao kwenye chama chao cha wizi hilo ni tishio kwa makundi mengine?

Shule ya kata huyu
 
Hapa Sumbawanga mjini hata kama CCM watamsimamisha Pinda na CHADEMA wakamsimamisha mtu yoyote yule(hata kichaa anaye okota makopo hapa mjini) bado nina uhakika Chadema itashinda tu.

Sababu kuu ni kwamba CCM haipendwi kabisa kabisa lakini pia kitendo cha kuchakachua matokeo mwaka 2010 kiliwaudhi watu wengi sana na mwisho kauli na vitendo vya kimaudhi(kiutu na kiimani)alivyofanya Aeshi mwaka 2010.

Na kwa taarifa yako CCM kwa sasa wanaumiza kichwa sana juu ya nani wa kumsimamisha kugombea kama uchaguzi utatangazwa kurudiwa kwani huyo Aeshi anatafsiliwa vibaya sana na viongozi wa juu wa chama kutokana na matukio fulani fulani ambayo yamekipa chama wakati mgumu sana.

Halafu wewe mleta mada ni mzushi sana, huyu Aishe japokuwa ni kijana na mtu mwenye pesa lakini hana tabia kabisa ya kujichanganya na watu wa kawaida zaidi sana anaonekana bar na night club akikamua pombe na malaya tu, kama kuna mtu anabisha aje hapa Sumbawanga mjini ajionee mwenyewe.
Wakisimamisha mtu tofauti na Aeshi wanaweza kuleta upinzani, lakini kwa sasa sioni mtu ndani ya CCM hapa Sumbawanga anayeweza kuleta upinzani kwa CDM.
 
Naöna kwa kiasi fulani uko sahihi, CDM kwa kiasi fulani wameanza kuonyesha dalili ya kuridhika chukulia mfano jimbo la igunga, CCM wameenda mara nyingi baada ya mbunge wao kuvuliwa ubunge, lakini cdm wametulia tu, haya sumbawanga nako akina nape wameenda, CDM mmh!

Angalia hata hicho kinachoitwa M4C, mikoa kama kigoma, rukwa, tanga, hakuna! CDM inabidi wafanye kazi usiku na mchana kwa sababu wao si chama tawala ni chama kinachodhamiria kushika dola, kwa hiyo wasijifananishe na CCM!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom