Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

Ndiyo sababu nimemuomba candid scope apandishe kiwango tujadili mada

Chama
Gongo la mboto DSM

Najivunia kiwango ni cha kuridhisha ndio maana umebaki jukwani, vinginevyo kama mada ingekuwa inakuchefua ungeshaikimbia, hahahaha, wanivunja mbavu Chama wa Gongolamboto, jamani.
 
Hayo mapungufu ndiyo tunayotaka myaweke hapa katika utendaji na uwanja wa siasa ayaone ili ajisahihishe.

Candid Scope,
Unasema wachangiaji wengi wamekuelewa na kuona bandiko lako limekamilika sababu hawakuhoji Dr Slaa ana watoto wa ngapi na ameishaoa..

Sawa mkuu naona unachagua mazuri na kuyapamba na yale ambao utaki kuyasikia kuhusu Dr Slaa, utaki kuyajadili.
Vp kiroho alikuwa safi?
Posho mlizokuwa mkipigania zitolewe bungeni mbona mnazisaini na kuzila je wananchi wako kwenye hali nzuri?Kweli kafanya mazuri lakini hoja ni ana mabaya aliyoyafanya?
Mimi namkubari Dr Slaa lakini si hivyo ulivyoleta mada kwa kuchagua mazur tuu
(Sisi tulio chini ya jua ni wakosefu na tunamuomba mungu atusamehe japo mdamwengine atujui wapi tumeteleza)
 
Candid Scope, kiongozi ni kioo cha jamii tunakubaliana na hii kauli.

Bila wasiwasi, lakini nyuma ya kioo hatujui kupoje, na tunapojitazama tunataza kioo ktoka upande wa mbele, nyuma ya kioo yanakihusu kioo chenyewe katika mfumo wake.

Hata Ritz tunayemfahamu ni huyu tunayemwona kwa sura yake, lakini ndani ya Ritz hatujui maungo na organi zake zilivyo kama zinafanya kazi ipasavyo au la, ni mwili wako ndio unaojua nini kina kasoro, sisi tunachoangalia ni figure inavyomwonyesha Ritz alivyo kwa mwonekano wake hata tukichukua half tone dots zitatoa taswira ya umbo lako la nje si ndani.
 
Vp kiroho alikuwa safi?
Posho mlizokuwa mkipigania zitolewe bungeni mbona mnazisaini na kuzila je wananchi wako kwenye hali nzuri?Kweli kafanya mazuri lakini hoja ni ana mabaya aliyoyafanya?
Mimi namkubari Dr Slaa lakini si hivyo ulivyoleta mada kwa kuchagua mazur tuu
(Sisi tulio chini ya jua ni wakosefu na tunamuomba mungu atusamehe japo mdamwengine atujui wapi tumeteleza)

Nini maana ya debate? Kwenye majadiliano hatuulizani maswali, ila tunachangia maoni, sasa hayo ambayo mimi sijayakamilisha ndo ninyi myachangie. Kwa upande mwingine si vema mada za kuchangia hapa mleta mata amalizie yote la sivyo atawakosesha wengine kuleta mengi ambayo hayajui au kutoyakamilisha.
 
Mkuu mimi ni mtanzania kama hao wengine labda kama sina haki kuielewa ; imeandikwa kwa kiwango cha chini sana labda kama iliandaliwa kwa wanafunzi wa shule za kata; kujishusha daraja siwezi game yangu nyingine kabisa wewe ndio unapaswa upandishe kiwango

Chama
Gongo la mboto DSM

I hope ukweli umeupata.

People's power.
 
Najivunia kiwango ni cha kuridhisha ndio maana umebaki jukwani, vinginevyo kama mada ingekuwa inakuchefua ungeshaikimbia, hahahaha, wanivunja mbavu Chama wa Gongolamboto, jamani.

Ahaa haa kiwango bado mechi ya mchangani hii wadau wameshakuambia ongeza kiwango ili tujadili uone kama hutapakimbia au uomuombe mods apige ban watu; hatutaki kutia maneno yetu ndani ya kinywa chako!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mi nadhani anayeyakataa hayo aliyoyasema mleta mada atuambie hili na lile siyo kweli, vinginevyo ni chuki binafsi na unafiki.
 
Mbona unaeleza vitu nusu nusu mkuu, ujasema kama Dr Slaa ana wake wawili ujasema Dr ana watoto wa ngapi ebu tufahamishe, umetaja mambo ya kanisa tu.

Hoja zako zipo personal sana so peleka kule jukwaa la mapenzi na mahusiano au fcbk na utapata majibu unayoyataka coz humu ni siasa mwanzo mwisho.

Be a guy
 
Nini maana ya debate? Kwenye majadiliano hatuulizani maswali, ila tunachangia maoni, sasa hayo ambayo mimi sijayakamilisha ndo ninyi myachangie. Kwa upande mwingine si vema mada za kuchangia hapa mleta mata amalizie yote la sivyo atawakosesha wengine kuleta mengi ambayo hayajui au kutoyakamilisha.
Yap umekuja kwenye point safi sana
Ninachokita usiwe Dr Slaa kwa kuwa ukumzaa wewe....
Na kingine jaribu kuwa chanya usiwe ass kwa kuwataka wachangiaji wachangie vile unavyotaka wewe
 
True...
Dr. Slaa ndio pia Muasisi wa neno FISADI na kuwataja kwa majina LIST YA MAFUSADI 11 pale MWEMBEYANGA TEMEKE.... tokea hapo watu wakafunguka.... Fisadi, fisadi
kila mahala, na aliowataja LEO WAANGALIENI WAKO WAPI..?? WAMEBAKI WANGAPI ..??

WAMEANGUKA WAMEBAKIA WACHACHE TU....
 
TMP Book deparment Tabora mjini) idara ya maduka ya vitabu na usambazaji vitabu wakitumia Apple computers

Vitabu vipi? cha John Sivalon kimo?
 
Ahaa haa kiwango bado mechi ya mchangani hii wadau wameshakuambia ongeza kiwango ili tujadili uone kama hutapakimbia au uomuombe mods apige ban watu; hatutaki kutia maneno yetu ndani ya kinywa chako!

Chama
Gongo la mboto DSM

Jambo la maana ninalokupenda Chama wa Gongolamboto siku hizi unaanza kuwa na mwono mpana dalili za ukomavu katima masuala ya kuliangalia taifa, hali hiyo ni dalili nzuri nimeipenda na ndicho tunachokitaka. Tunashindana hoja si ugomvi kama wengine wafanyavyo.
 
Mkuu mimi ni mtanzania kama hao wengine labda kama sina haki kuielewa ; imeandikwa kwa kiwango cha chini sana labda kama iliandaliwa kwa wanafunzi wa shule za kata; kujishusha daraja siwezi game yangu nyingine kabisa wewe ndio unapaswa upandishe kiwango

Chama
Gongo la mboto DSM

kwa uhakika unaonesha jinsi unavyosukumwa na kitu fulani humu jamvini lakini sio great thinker upo upo tu kwa ajili ya kitu fulani maana huelezi cha maana kwemye kila hoja wewe ni kutoa yale uliotumwa.

ukisema imeandikwa kiwango cha chini maanake nini wapi ni kitu gani poor you....fooolish thinker
 
THANKS GOD KWA KUWAONYESHA VIJANA JAMBO HILI...........

Sisi tuna MUNGU WAO WANAMAJUNGU NA CHUKI
 
Vitabu vipi? cha John Sivalon kimo?

Nenda pale karibu na Forodhani kuna bookshop mojawapo ambayo ni zao la TMP Book department ambayo ni publisher, book seller na book distributor. Zomba mambo mengine kuyaelewa unahitaji uyafanyie utafiti vinginevyo tunaandika vingi ambayo hujavijua ninaendeshwaje na vipoje.
 
Mbona unaeleza vitu nusu nusu mkuu, ujasema kama Dr Slaa ana wake wawili ujasema Dr ana watoto wa ngapi ebu tufahamishe, umetaja mambo ya kanisa tu.

siasa chafu za CUF NA CCM.... Kikwete ana wake wangapi... Riz1 ni mtoto wa salma?... Hatuangalii unayoyaangaalia, kajipange upya na propaganda zenu za uzinzi
 
Back
Top Bottom